Imani yangu mu wazima ndugu zangu wana jf.
Poleni na ujenzi wa Taifa japo wengine wapo kwa ajili ya kubomoa.
Lengo la kuleta uzi huu hapa ni kuudhiilisha umma kuwa kumbe hata kabla ya vyama...
Enzi zetu hadithi zilianza hivi, 'Hadithi hadithi, hapo zamani za kale..............'. Enzi hizi hadithi huanza hivi,'Akina baba hoyeeee, akina mama hoyeeee, ndugu wananchi mkinichagua...
Wanajamii wenzangu, hivi mmeshajiuliza kwanini watanzania tulio hapa nyumbani tunapenda sana kuongea kiingereza hata kama wengine hawajuwi hiyo lugha kisawasawa watajitahidi kuongea tu. Cha...
Nakumbuka tulitangaziwa wakati fulani kuwa ile kamati iliyopewa mamilioni ya walipa kodi itaonyesha matokeo ya kazi yake siku ya uhuru (09/12/2012), kwa vazi hilo kuvaliwa rasmi katika sherehe za...
Nahitahji kuelimishwa: Hivi kamati za ulinzi na usalama wajumbe wake ni wa kutoka vyama gani vya siasa? jee, wamo pia wapinzani? Na jee hizi kamati ziko chini ya Katiba iliyopo au katika sheria...
gari limeanguka maeneo ya mbuguni madukani aina za DCM T526AAL Lilokua na watu zaidi ya 45.watu wengi wamejeruhiwa ila hakuna aliyekufa mpaka sasa.majeruhi wamepelekwa hospital ya kata ya...
Serikali ina mpango wa kuifumua na kuijenga upya barabara ya lami inayotoka kitongoji cha halali(kijiji cha mayale) hadi kijiji cha ilembula ktk wilaya ya wanging'ombe.barabara hii imeunga kutoka...
Habari wanaJF
Ni dhahiri kwamba mkuu wa nchi akitamka jambo lolote jamii huamini na kulichukulia jambo hilo kwa uzito wa kipekee. Rais JK akiwa kwenye mjadala wa Kigoda cha Mwl. Nyerere, UDSM...
nashtushwa sana na waandishi wetu uchwara wa magazeti, yaani asife mtu hasa akiwa msanii utakuta kichwa cha habari kikuuuubwa, FREEMASON INAMALIZA WASANII, kwa jinsi nilivoisoma soma freemasoni...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia viongozi wakiugua au wenye uwezo wanapanda ndege faster na kuelekea kwenye hospitali ya rufaa, yaani INDIA. Hohehahe kama mimi iinategemea kama Reginard Mengi...
Habari za nilizoziopata kutoka kwa rafiki yangu wa karibu analiye karibu pia na familia ya Sharo Milionea ni kwamba kumefanyika makubaliano kati ya familia na Airtel kwamba tangazo na 'Umebugi...
Ndugu zanguni napenda kuwasimulia yaliyonikuta weekend hii katikati ya jiji kwenye parking ya serikali, ni kwamba nilitoka bank kudraw some amount (kama 1m) hivi kisha nikaiweka kwenye gari lakini...
Life's good when you're His Airness. Michael Jordan is just about to move into a new 28,000-square-foot, $12.4 million home in Jupiter, Fla. Among his neighbors will be one Tiger Woods.
The...
Wananchi wa Usa river juzi walipata wakati mgumu baada ya mabomba yote ya maji kutoa maji yenye rangi ya maziwa.Wenyeviti wa vitongoji waliona hali hiyo wakachukua hatua haraka ya kwenda kwenye...
Yaani mie naona kama changa la macho tu ati watajenga Hospital mpya na ya kisasa,swali langu ni je kweli hawa jamaa niliowataja hapo juu tutatibiwa nao hapo tena kwa usawa kama watibiwavyo...
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kitendo cha gazeti la Jambo Leo kuchapisha habari ikiwa na kichwa cha habari "Tyson awa mwanamke" huku wakicopy habari toka kwenye tovuti ya www.newsbiscuit.com...