Serikali kutengeneza barabara upya ilembula.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
157
Serikali ina mpango wa kuifumua na kuijenga upya barabara ya lami inayotoka kitongoji cha halali(kijiji cha mayale) hadi kijiji cha ilembula ktk wilaya ya wanging'ombe.barabara hii imeunga kutoka barabara kuu ya dar-mbeya ktk kitongoji cha halali.wananchi wanahoji kwa nini serikali iingie gharama ya kuijenga upya kwani fedha hizo zingetumia kujenga kipande kingine kutoka ilembula kuelekea makao makuu ya wilaya igwachanya.barabara hii haipo ktk hali mbaya kama picha inavyoonesha.
 

Attachments

  • ROAD.jpg
    ROAD.jpg
    36.7 KB · Views: 62
Nafkili serikali imeamua kuibomoa yote ili waikarabati upya na iwe imara mana wanaweza wakajenga ya mbele yake hlf hiyo itakuja kuharibika tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom