Vazi la taifa. Lilivaliwa siku ya Uhuru?

Vazi la taifa. Lilivaliwa siku ya Uhuru?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Nakumbuka tulitangaziwa wakati fulani kuwa ile kamati iliyopewa mamilioni ya walipa kodi itaonyesha matokeo ya kazi yake siku ya uhuru (09/12/2012), kwa vazi hilo kuvaliwa rasmi katika sherehe za siku hiyo...

Hivi kuna ambaye aliliona au ndio wanaendeleza usanii wao kama tulivyokwisha kutabiri siku za nyuma?
 
Back
Top Bottom