Wanasema Serikali itajenga Hospital mpya ya Kisasa.....Je Rais,Mawaziri,Wabunge tutatibiwa nao hapo?


M

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
1,072
Points
1,195
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
1,072 1,195
Yaani mie naona kama changa la macho tu ati watajenga Hospital mpya na ya kisasa,swali langu ni je kweli hawa jamaa niliowataja hapo juu tutatibiwa nao hapo tena kwa usawa kama watibiwavyo Marais,Mawaziri na wabunge wa Ulaya na Marekani watibiwavyo sawa na wananchi wao ndani ya nchi zao pasipo kwenda ati India au Afrika maake mie sijawahi sikia ti Dr wa Obama yuko nje ya nchi yake au Dr wa Angel Makel yuko Afrika ni Tanzania tu ndio nasikia ati Dr wa Rais yuko Ulaya au India au ati Mbunge/waziri kaenda cheki afya yake huko nje ya nchi.
Naisemea Tanzania kwa kuwa ndio nchi yangu na hawa watu wanatumia kodi zetu kama nchi zingine za Afrika Ma Dr wao wako Ulaya hiyo sijali kwa kuwa hawatumii kodi yangu maake watakuja watu hapa watasema oooh wewe hufahamu mbona Rais wa nchi hii naile wanatibiwa nje nao.Je kama Muhimbili kumekosa vifaa bora na Ma Dr,Wauuguzi wa uhakika je kwa hiyo Hospital ya kisasa MaDr na wauguzi watapatikana wapi wakati wanatimua wasomea U DR mara kwa mara?
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,758
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,758 2,000
miafrica ndivyo tulivyo,bila kupanda ndege hatujapona
 
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
1,754
Points
2,000
L

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
1,754 2,000
ni wazo zuri , lkn je? kwa kuwa wao wanatibiwa nje ya nchi, basi hawana sababu ya kutujengea hospitali? ninavyofahamu mimi hata hao wakubwa wa dunia uliowataja, wanatibiwa ktk hospitali bora kabisa ktk nchi zao, hospitali ambazo mwananchi wa kawaida ni shughuli kutia maguu, mf; hospitali ya ST THOMAS ya UK, si mchezo. hoja yako inamsingi saaana ila hatuna sababu ya kupinga ujenzi wa hospitali ila wawe wakweli, unakumbuka porojo za MH LUKUVI, aliposema wanakusudia kupanua hospitali ya MWANANYAMALA sasa hivi kajificha kimya ,tatizo viongozi wanapenda saaana porojo. ingekuwa vyema wananchi tumdai utekelezaji wa kauli yake hiyo mpaka kieleweke.
 

Forum statistics

Threads 1,285,254
Members 494,502
Posts 30,855,524
Top