Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

One of the most dangerous roads in Northern India!
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Ninaomba kufahamishwa kijiji cha Nkungi kiko jimbo gani la Iramba na ni nani Mbunge. Asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Msoma dondoo-za magazeti wa redio free afrika.inayomilikiwa na kada wa ccm bwn A.Diallo,leo kanishangaza kweli,kaanza kusoma hbr katika gazeti la habari leo upande wa mhariri akimnukuu,kadinal...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za kusikitisha zilizonifikia kwa sasa ni kuwa Polisi wawili wameuwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na wananchi baada ya kumuua mwendesha pikipiki katika eneo la Mgoma-Ngara-Kagera. Baada...
7 Reactions
333 Replies
29K Views
Makamu wa Rais,DrGharib bilali amewataka waislamu nchini kuweka juhudi zaidi katika elimu ya dini pamoja na elimu dunia ilikuepuka matatizo mengi yanayosababishwa na ukosefu wa elimu...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Madakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa. Je, Dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
A little boy came up to his mother in the kitchen one evening while she was fixing supper, and handed her a piece of paper that he had been writing on. After his Mom dried her hands on an apron...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Kila mwanaadamu ana makosa yake na sisi viongozi ni wanaadanu kwa hio tumefanya makosa,lakini tumesoma na tunajaribu kukisawazisha kile ambacho kimekosewa na wazazi wetu na viongozi wengine...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THURSDAY, DECEMBER 13, 2012 UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO...
0 Reactions
100 Replies
19K Views
Shirika la UMEME TANESCO nimepata faida ya TZS 120 BLN kabla ya kodi kwa kipindi cha miezi 9 ya mwaka 2012.Taarifa ya EWURA na Wizara zinabainisha hivyo ni kutokana na kupanda kwa gharama ya umeme...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Wanandugu wa JF heshima mbele Wamarekani na wazazi wote poleni kwa yaliyotokea shuleni kwenu Back to topic: Wadau hivi hii tabia hasa ya Obama kulia lia au kutoa michozi hadahrani, kwanza kama...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau napenda kuuliza leo nipo gizani nimejaribu kununua umeme tigo pesa na M-pesa, lakin sipati Max malipo wanasema network inasumbua. Anayejua kuna nini huko anijuze kwani sijui tatizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JIJI LA MBEYA LINAZIDI KUKUA NA AJALI ZINAONGEZEKA HII NI AJALI YA PIKIPIKI NA GARI AINA YA GX 100 IMETOKEA ENEO LA MAFIATI MBEYA KISA CHA AJALI MWENYE PIKIPIKI AMEINGIA BARABARA KUU BILA YA...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
ndio wabongo ni watu dhaifu kumbe ni ugali unasababisha! chukulia gramu 100 za kilachakula mchele- nguvu ni 1528kj, protini 7g, mafuta 0.5g, wanga 80g, madini chuma 4mg mahindi-nguvu 360kj...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
What is the meaning and history of this shameful name? Why the City is dirty like this?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati mheshimiwa rais anazindua nyumba za NHC Kibada alizungumzia kuhusu riba za mabenki kuwa kubwa hivyo kuyataka mabenki hayo kupunguza riba zinazotozwa kwenye mikopo inayotolewa. Kwa uelewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SATURDAY, DECEMBER 15, 2012 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoa wa Katavi,tayari kwa ziara yake ya kikazi katika jimbo la Katavi kukagua shughuli za...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Jamani hii Taasisi ya Police Tanzania siilewi kabisa. Naiita Taasisi maake mi siamini kama ni Jeshi kama wanavyojiita. Jana nilikuwa ndo naingia katika Gate la leaders club kumshuhudia mzee wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Matukio yanayolikuta Jeshi la Polisi na yatakayatokea ni kutokana na matukio ya kutotenda haki wanayoyafanya kwa raia. Ili kusahihisha makosa hayo na kutubu ni muda muafaka sasa waanze kutenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…