Kuna ukweli kama ukioa mwanamke aliokuzidi umri?

Kuna ukweli kama ukioa mwanamke aliokuzidi umri?

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
Mwenzenu nimejaribu kufuatilia kwa umakini kwa wanaume ambao wake zao wana umri mkubwa kuliko wao, ndoa za namna hiyo zimekuwa za kuheshimiana sana, wanajaliana sana, wanatunzana sana alafu cha ajabu huwa wanapata sana mafanikio.

Hebu wewe mfikirie mtu unaemjua alafu stadi maisha yao tatizo kubwa huwa kwa ndugu wa mwanaume huwa jambo hili hawalipendi, jamani hiyo ni layman reseach, nipeni mnayoyajua.
 
Umefulia unatafuta kulelewa, vijana kwa vijana, wazee kwa wazee.

Usitafute urahisi kwa kisingizio cha kujaliana, kama issue ni kuheshimiana na kujaliana nenda kaoe mwanamke kijijini harafu uone kama hatakuheshimu au kukujali, au mwanamke uliyempita uwezo sana harafu uone kama hatakujali , kukuheshimu na kudumu.
 
Wewe oa mwanamke aliyekuzidi umri, utaleta majibu.
 
Huyo atakuzeekea Mkuu chief72, hakuna cha heshima wala nini, tafuta fresh from school.
 
kupe, mleta mada (kama nimemwelewa sawia) ana maana ya kuzidiana miaka michache, let say 2 hadi 6, si miaka 20 na zaidi kama ilivyo kwa Serengeti boyz dhidi ya sugar mamy!
 
Last edited by a moderator:
ukiona kuna sehemu unapata unafuu basi ujue kuna sehemu mtu anaumia........(benjamin mkapa)
 
Uzee kaulia wapi aje kukuchosha mtoto wa watu!!!!! Nachukua Dogodogo kitu laini kama unanawa full handaz bonyeeeeee mdebwedo yani still picture na mnato............
 
ukiona kuna sehemu unapata unafuu basi ujue kuna sehemu mtu anaumia........(benjamin mkapa)

You can not make someone better off without making someone else worse off (Economics Concepts)
 
Binti mdogo mdogo ndio mpango mnzima.

Aliyekuzidi umri ni kubahatisha tu, you will get inferiority complex.

Mwanamke akishaanza kukomaa utamkimbia ndugu yangu.
 
Ila wanawake ndio huwa wanajistukia sana na hawapendi... Ni hiyo basi tu!
 
Over age kama ya David Beckham na Victoria Posh siyo Mbaya lakini ikizidi zaidi ya miaka miwili ni noma hiyo jombaa, halafu pia inategemea na Mwanamke ana mwili gani, kama mwili wake mzuri ni powa lakini kama mwili wake ni ule mtu ana miaka 25 lakini she looks like 35, hapo Big NO.
 
inategemea wengine wanakuwa na maisha mazuri wengine wanajuta, vitu hv havina ujuzi wala kanuni. ni bahati tu.

wengine wanasema mkioana mna umri sawa hamheshimiani wakati kuna watu wengi sana wanaoana wamekaribiana umri na wanaishi poa. na wapo wanaoana umri wapo sawa na mambo ndani hayaeleweki kila kukicha kila mtu ni simba ndani ya nyumba kila mtu anaongea kila mtu mmbabe.

hivyo huwezi kujudge what is right and what is wrong.
 
mwenzenu nimejaribu kufuatilia kwa umakini kwa wanaume ambao
wake zao wana umri mkubwa kuliko wao, ndoa za namna hiyo
zimekuwa za kuheshimiana sana, wanajaliana sana, wanatunzana sana
alafu cha ajabu huwa wanapata sana mafanikio
hebu wewe mfikirie mtu unaemjua alafu stadi maisha yao
tatizo kubwa huwa kwa ndugu wa mwanaume huwa jambo hili hawalipendi
jamani hiyo ni layman reseach, nipeni mnayoyajua
ni kweli afterall age is nothing just numbers age doesn't put food on the table, age doesn't send children to school ni poor mindset ya watu walio wengi hakuna mahali palipo andikwa mwanaume awe na umri mkubwa kuliko mwanamke ni belief tu ambao ime base on peoples' opinion if everything is on the right track life goes on maisha hayanaga formula it's just how you live it you gat me
 
There is something of the same phenomenon mfano kwangu mie sijui wengine trends shows that wanawake ambao nimedate tukiwa sawa age-wise, love gon good but ambao nimewazidi dah their mind are not even sexy.. Kinachotokea hawa walio na umri wanakuwa tayari wamemature thts why unawez mkafanya mambo ya kimaendeleo! Lakini kama umekuja kuomba ushauri kwa mfumo wa swali nakushauri oa mwanamke ambae unampenda na atakupenda, kama mwanamke hakupendi hata kama yupo chekechea achana nae utateseka kaka angu!
 
Back
Top Bottom