Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Kwa sasa naomba tuichukulie kama Tetesi.
Nimepata taarifa za ndani kuwa aliyekuwa KAIMU Mhariri mtendaji wa Daily News kwa zaidi ya miaka mitatu sasa Mkumbwa Ally ameondolewa katika nafasi yake na badala yake Bwana Gabriel nderumaki amepewa nafasi ya Kukaimu.
Mkubwa alikuwa akilalamikiwa sana na wafanyakazi na kudaiwa kulindwa na baadhi ya watu ndani ya Ikulu kwa muda Mrefu. Ikumbukwe huyu ndie aliyeandika ile 'EDITORIAL' kwamba '....hata iweje, Dr Slaa hawezi kuwa Rais wa tano wa tanzania' mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Haijawekwa bayana kama uteuzi rasmi wa Rais kwa Mhariri Mtendaji wa TSN utatangazwa lini.
Mkubwa alichukua nafasi hii miaka mitatu na ushee iliyopita akirithi mikoba ya Isack Mruma ambaye alipomaliza muda wake, rais hakumuongezea muda wala kumteua mrithi wake hadi sasa.