Raarifa Maalumu: Hivyo ndivyo Askari wanavyonyanyasa Raia!

Raarifa Maalumu: Hivyo ndivyo Askari wanavyonyanyasa Raia!

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wakuu Habarini za asubuhi?

Kwa muda wa siku kama tatu hivi kumekuwepo na thread humundani ya mauaji ya askari wawili pamoja na Raia huko wilayani Ngara MkoaniKagera lakini kumekuwepo na maneno mengi sana.

Kutokana na mabishano nimeona nije na Taaifa hii ilitujaribu kujadiliana kwa pamoja ambapo kuna tukio moja ambalo limetokea katikawilaya ya Rufiji Mkoani Pwani katika eneo linaitwa Muholo ambapo wakati abiriawako safarini na basi lao aina ya Costa wanakutana na Askari wa UsalamaBarabarani wanawasimamisha na kulikagua gari,na baada ya kuangalia huku na kulemmoja wa askari hao anamwambia dereva kwamba tairi ni bovu hivyo anapaswakununua na kuweka tairi jipya.

Dereva anakubali na kuweleza kwamba kwa kuwa hapo hakunatairi za kununua akifika mwisho wa safari yake ambapo bado kuna umbali wakilomita 30 na ushehe hivi atanunua, lakini cha ajabu Trafiki anakataa nakumwambia kwamba anapaswa kulipa faini ya shilingi 40,000 vinginevyohatamruhusu kuondoka na tairi hilo mpaka aweke tairi jipya.

Kutokana na hali hiyo Dereva anamwita Kondakta wake na kumwambiakwamba afunngue tairi hilo ili aweke jingine ambalo lina unafuu kuona hivyoTrafiki anamzuia kufanya hivyo na kumtaka kwenda kulipia faini,mabishanoyakaanza baina yao kama ambavyo picha inaonesha hapa chini.

Mwisho wa siku dereva anakula makofi,anatiwa pingu nakupelekwa mahakamani kisha kufunguliwa mashitaka matatu;
Kwanza: Kukataa kutiiamri ya polisi,
Pili: Kuchana SARE ya polisi, na
Tatu: Kumpiga polisi!

Sasa naomba tuangalie hii video kwa umakini mkubwa jumlishana lile tukio ambalo umewahi kushuhudia kisha tujadili hayo hapo juu.
 
Mkuu hiyo video hebu itupie vizuri naona kama haifunguki sasa sijui ni huku kwangu tu au hata kwa wengine....
 
Haifunguki!!

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!

Mkuu hiyo video hebu itupie vizuri naona kama haifunguki sasa sijui ni huku kwangu tu au hata kwa wengine....

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!

video haifunguki.weka tena.

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!


Naona kichina tu,

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!

sioni video mimi

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!

Tupia tena hiyo video haifunguki kabsaaaa meku

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!

mkuu haifunguki ina error ebu tupia tena hii picha

Mkuu nimeongea na Mods wanashugulikia,uvumilivu kidogo tafadhali!
 
Tuendelee kuvumilia mi nshachoka kuchungulia hapa"
 
Back
Top Bottom