Majina ya pesa!

Majina ya pesa!

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
PESA INA MAJINA MENGI SANA.
kwenye ibada inaitwa SADAKA,
kwenye msiba inaitwa
RAMBIRAMBI, shuleni inaitwa
ada/karo, kwenye vyombo vya
usafiri inaitwa NAULI, ukinunua haki inaitwa RUSHWA,
ukimdhaminia mtu
mahakamani inaitwa
DHAMANA, mengine
nimesahau,,muwe na jioni
njema wapendwa.
 
Ahsante kwa kunikumbusha, hivi vitu vidogo vidogo wakati mwingine tunasahau kuvipangilia.Jioni njema pia
 
tafuta kuna uzi wa namna hii uliwahi kuwekwa humu,then unganisha na hili!
 
PESA INA MAJINA MENGI SANA.
kwenye ibada inaitwa SADAKA,
kwenye msiba inaitwa
RAMBIRAMBI, shuleni inaitwa
ada/karo, kwenye vyombo vya
usafiri inaitwa NAULI, ukinunua haki inaitwa RUSHWA,
ukimdhaminia mtu
mahakamani inaitwa
DHAMANA, mengine
nimesahau,,muwe na jioni
njema wapendwa.
kwenye pombe inaitwa bili
 
Kwenye vyuo inaitwa Bumu, kwenye mchango wa kula uswazi inaitwa donesheni au domingo, kwenye kupanga nyumba inaitwa pango, kwenye kumpa polisi inaitwa chochote au maji ya kunywa.........
 
kenya pesa inayokusanywa kumsaidia mtu wanaita harambee
 
Back
Top Bottom