Jilanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 255
- 40
Natanguliza heshima na salamu kwa wanaJF! Nilikuwa Chunya maeneo ya Matundasi nikakuta kuna Lodge moja mpya ya Kisasa maeneo ya Tumbi. Nilivyohoji nan mmiliki nikaambiwa kajenga kijana moja ambaye ni Diwan kata ya Matundasi Chunya! Wakazi wa pale wanadai kajenga kutokana na helo wanaolipwa Madiwa! Mi nahoji posho ama mshahara wa diwani ni shilingi ngapi kwa mwezi au kwa kikao! Nisaidie plz! Ikiwa thread imekuboa usitukane!