Matokeo ya Sensa Vipi Jamani

Matokeo ya Sensa Vipi Jamani

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Jamani kama kuna mtu mwenye fununu za matokeo ya sensa ya kitaifa 2012 nayangoja kwa hamu na kusikitika pamoja na TEHAMA yote hii yamechelewa sana
 
Niliwah kusikia kwenye chambuz za magazeti kwamba atayatangaza rais kikwete atakapohutubia kuuaga mwaka
 
ngoja ngoja yaumiza matumbo.........................kama ni kweli kazi ipo.......nashukuru kwa taarifa..............
 
Lengo lilikuwa kupata idadi ya Magaidi nchi hii yako kiasi gani.
 
Mimi nina hamu kusikia Waisilamu na Wakristu kina nani wengi......:confused2:
 
Idadi ya Watanzania tunaelekea kuwa milioni 50!.
Matokeo rasmi kutangazwa na JK siku ya Jumatatu, tarehe 31/12/2012.

Idadi ya wenye sifa za kupiga kura ni Milioni 30!.
Watajiandikisha watu milioni 25!.
Watakaopiga kura ni Milioni 12 tuu.
CCM ina wanachama milioni 6 na wote watapiga kura!.
Hizo kura milioni 6 nyingine, ndizo vyama vingine vyote vitagawana!.
Hivyo matokeo ya awali ya uchaguzi wa 2015 ndio haya!.

NB. Idadi ya watakaojiandikisha na watakaojitokeza kupiga kura, inaweza kubadilika kufuatia uhamasishaji!. Hili likifanyika, matokeo yanaweza kubadilika, ila piga ua galagaza, CCM itaingia kwenye uchaguzi, ikiwa tayari na mtaji wa kura zake milioni 6!.
P.
 
umesahau kuandika kwa hisani ya watu wa ..................

NB. Idadi ya watakaojiandikisha na watakaojitokeza kupiga kura,
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=5283614
 
Mimi nina hamu kusikia Waisilamu na Wakristu kina nani wengi......:confused2:

Ww hujui?? Wakristo ni wengi 80%,, huwezi amini mm nimemuona muilam mara ya kwanza Dar 1999 Magomeni.
 
Jamani kama kuna mtu mwenye fununu za matokeo ya sensa ya kitaifa 2012 nayangoja kwa hamu na kusikitika pamoja na TEHAMA yote hii yamechelewa sana

Wewe uliesabiwa, maana ambao hawakuhesabiwa ndiyo wanalalamika sana kuwa matokeo yamechelewa.
 
Amavubi swali gani tena hili jamani? Umesahau kuwa matokeo ya Sensa yalichomwa na Mzee Ngengemkeni Mitomingi jiarani yake MANI baada ya Ngoswe kumtokea bintiye Mazoea? Edwin Semzaba aliona mbali sana, hii ndio Tanzania bhana, zile zilikua dili za watu kaka, uliza uambiwe

Bajeti ilionyesha kuwa kuwe na Tisheti, Kofia na Beji, kalam za kutosha na kataratasi badala yake wakaenda kutengeneza vizibao vya low quality na bajeti ikashushwa hadi Billion Tatu.....tuishie hapa kwa leo
 
Last edited by a moderator:
UME QUOTE MARA MBILI AU NDIYO SENSA YENYEWE?
Idadi ya Watanzania tunaelekea kuwa milioni 50!.
Matokeo rasmi kutangazwa na JK siku ya Jumatatu, tarehe 31/12/2012.

Idadi ya wenye sifa za kupiga kura ni Milioni 30!.
Watajiandikisha watu milioni 25!.
Watakaopiga kura ni Milioni 12 tuu.
CCM ina wanachama milioni 6 na wote watapiga kura!.
Hizo kura milioni 6 nyingine, ndizo vyama vingine vyote vitagawana!.
Hivyo matokeo ya awali ya uchaguzi wa 2015 ndio haya!.

NB. Idadi ya watakaojiandikisha na watakaojitokeza kupiga kura,
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=5283614
 
Wewe uliesabiwa, maana ambao hawakuhesabiwa ndiyo wanalalamika sana kuwa matokeo yamechelewa.
mimi kwa kweli nilihesabiwa, na ninahitaji kwa sababu nina maslahi nayo kk kazi zangi, nimechoka kuendelea kutumia takwimu za 2002
 
Back
Top Bottom