Nakuombeni Clarification

Nakuombeni Clarification

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
85
kwa wale wenye kuielewa Bible nisaidi ufafanuzi wengine wanatwambia ni wandishi wamekosea wengine wanatwambia ni amri tumepewa sasa baadhi yetu tumechanganyikiwa hapa tusaidiane .... Deuteronomy 14:8 (Bible)

"And the swine .....is unclean to you ;you shall not eat of the flesh or touch their dead Carcass.;
 
Sioni kinachochanganya hapo ndugu na wala bibilia haijawahi Kukosewa ni Amri usile maana hacheuwi ingawa amepasuliwa kwatu basi Mbona raisi tu Amri is supposed to be obeyed and not to be questioned inakuwa ngumu tu pale wanadamu tunapotaka kupindisha ili tufanye tunayotaka Ndio utasikia ooh hapa pamekosewa oh maana yake siyo hiyo ila Hilo fungu limekataza kula nguruwe.it depends on what a person believes in anyway!
 
pia imeandikwa hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi kwasababu hakimwingii moyoni ila tumboni tu, kisha chatoka kwenda chooni.
 
pia imeandikwa hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi kwasababu hakimwingii moyoni ila tumboni tu, kisha chatoka kwenda chooni.
Please read the passage or verse in its context, not just a line and employ it to defend your position, one might as well quote Genesis 4:8 ...Cain rose up against Abel his brother, and slew him.
A prayer for inspiration before reading the Bible, might go a long way tyo solving any such problem, John 16:13My prayers with you
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Mkuu Babylon,

Sijui hujaelewa wapi,

Soma Mambo ya Walawi(Leviticus) sura ya 11...Ni amri/agizo tulilopewa, i really wish i could have polite word to address it.

MUNGU toka mwanzo yaani kuumbwa kwa Ulimwengu aliona kila kitu ni chema, na akaagiza mwanadamu avitawale, hata hovyo pamoja na kwamba aliwaambia wavitawale, aliweka agizo kwa wanyama, ndege, vitu vinavyotambaa vya kula na vile ambavyo hatutaweza kula(sio kwa sababu we cant really chew or digest them ila kwasababu ya kuonyesha UTII) na pia viumbe hivi viliumbwa kuonyesha Ukuu wa MUNGU katika uumbaji na uweza.

Hilo agizo halikuanzia hapo, hata wakati wa Nuhu(Noah) alipojenga Safina(Ark) MUNGU alimtaka Nuhu aweke wanyama katika Safina kwa jozi(pairs) yaani wale safi(Clean) wawe jozi(pair) 7 na wale wasio safi(Unclean) wawe jozi 2( 2pairs)..Hii ni kwa sababu, wanyama hawa wasafi(clean) walitumika kwa ajili ya
1. Chakula
2. Kutoa Sadaka(dhabihu)

Hivyo sidhani kama kuna makosa hapo
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: PSM
Back
Top Bottom