Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Taarifa kutoka mwanzani ni kuwa Mwandishi wa Habari wa ITV Bw Cosmas Makongo khali yake kiafya si nzuri kwa sasa kwani Vipimo vya hospitali ya Rufaaya Bugando havioneshi ugonjwa wowote (awali ilidaiwa kuumwa moyo) na madaktari Bugando wanatarajia kufanya marudio kwa uhakika zaidi.Lakini anahitaji msaada wa hali na mali.NO yake ni +255754361049.
Asante.
Byabato

Asante.
Byabato
