Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu jamaa kani impress na maelezo yake. Nimependa alivyosema haongelei siasa bali uchumi na maendeleo. Na kweli katika kipindi kajitahidi mno kutkuonyesha any political bias, in fact sidhani kama...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nadhani mpaka kufikia leo tarehe 08/01 wengi mmeshatumia ving'amuzi na tayari mnajua King'amuzi kipi bora,sasa naomba ushuri wenu ninunue King'amuzi kipi"
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Taarifa zilizojitokeza ni kuwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya kahawa anaendelea kufukuza wafanyakazi bila ya kufuata sheria. Kuna mfanyakazi mwingine jana amemfukuza kazi kwa kutokuwa kazini huku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unakuta mtu ni member wa JF muda mrefu tena wengine ni Experts kabisa halafu,like given=0,hii ni aibu na ubinafsi mkubwa.Mimi naamini ukishindwa kuonyesha mazuri katika jambo dogo hata kubwa...
2 Reactions
4 Replies
976 Views
Naomba wanajaii forum mnisaidie kujua vigezo vya mtu anapo toka nch za nje kuja kuwekeza ndani y nch,kwan serikal inawangalia vigezo gan
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongera walevi kuzaliana na kuzalishana KWA mujibu wa taarifa iliyosomwa na profesa, daktari, shehe, gwiji, alhaji, kanali, father Njaa Kaya Kiwewe ni kwamba walevi kwenye kaya hii wamezaliana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Before the day is gone let me shout a GREAT THANKS to the Lord and a batch of honor to JF Founders, Management and all Members as well. Today, it is a year since English Learner officially...
2 Reactions
1 Replies
797 Views
Kwa taarifa nilizozipata kwa njia ya simu gari la Bunda bus lililokua linatokea Musoma kwenda Mwanza limepata ajali nje kidogo ya Magu kuelekea Mwanza naomba mwenye taarifa hizi atujuze vizuri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Vijana wasomi acheni kulalamika, kwan tafiti imefanyika kati ya vijana 10 ni watatu tu ndio waliotoa maoni yao juu ya katiba mpya wanayoitaka Jamani - mabadiliko ni mimi,ni wewe, ni sisi - tuamke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAREHE 07-01-2013. Ndugu waandishi wa Habari kwanza ningependa kuwashukuru sana kwa kuitikia wito wenu kuja hapa leo kuyasikiliza yale ambayo nimekusudia kuyaongea. Pili ningependa...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Wananchi wakivuka kwa taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga linajengwa na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na muungano wa makandarasi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf kwa kweli ubungo stand kumekuwa na tatizo sana yani amuwezi amini mpaka saizi magari yaliyotakiwa kuondoka saa kumi na mbili na nusu mpaka saizi akuna bus hata moja ambalo limeondoka kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwandishi wa Radio Kwizera wilayani Kakonko mkoani Kigoma Issa Ngumba ambaye alitoweka katika mazingira ya kutatanisha mwili wake umepatikana katika pori la Mlima Kajuluheta . Mwandishi huyo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kUMBUKENI YAFUATAYO; 1. Benki kuu, BOT ilitoa tamko mabenki yoote nchini yapokee taarifa kutoka kwa wateja wao. Kuna fomu unapewa benki kwako na unajaza maelezo fulani fulani pia unaenda kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
KILIO CHA WANYONGE TANGA BEACH RESORT NA PPF Sisi wafanyakazi wa hoteli ya kitalii iitwayo TANGA BEACH RESORT iliyopo mkoani TANGA. .Hoteli hii inasemakana ni yaMkubwa Fulani serikalini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
msaniii chipukizi wa mchiriku anaejulikana kama omary omary.....amefariki dunia source:times f.m
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Asubuhi ya leo?! Kwenye uchambuzi wa magazeti leo nimesikia moja ya Magawazeti (JAMBO LEO) likiwa na kichwa cha Habari SHIBUDA: MIMI NI JENERALI,Tafadhalini mlioko Tz nisaidieni...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari gani wanajukwaa wenzangu, Naombeni msaada wenu katika hili,ikiwa mtu anataka kuwa wakala wa m-pesa na tigo pesa,ni process gani atazifuata?na ni nini anatakiwa kuwa nayo? naomba kuuliza
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera sana, tumeona jinsi ulivyomshambulia mmiliki mwenzio wa gazeti kuwa anadaiwa mishahara na wafanyakazi wake, Mbona wewe haujatulipa tangu Mwaka jana, tunakuandikia habari, makala, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna professor mmoja wa UDSM alipigwa risasi nyumbani kwake miezi michache iliyopita,Kikwete hakuonekana wala kutia mguu pale,tunajiuliza je ni kwa nini huyu Mtu haendi misiba ya wanasiasa na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…