Nimekuwa nikijiuliza kwanini mikoa ya kusini bado iko nyuma kimaendeleo hasa upande wa elimu.
Je ni serikali tu imewakwamisha au hata juhudi zao binafsi ni ndogo?
Habari za naibu waziri wa Nishati na madini kufika Mtwara na kuzuiwa siku ya Jumatatu tarehe 14/01/2013 zimekanushwa vikali mno na Makanjanja wanaonendekeza bahasha za khaki. Sakata lenyewe ni...
Ulimboka kama Dk. Balali
SERIKALI YAKWEPA KUMHOJI KUHUSU SAKATA LAKE
SAKATA la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, limeanza kuibua...
Katika pita zangu Kinondoni nimeaona duka la Chadema ,nilivyoingia ndani ni Products chata ya M4C.Bidhaa hizo ni Form Six,Kaki full,mipira(foofball) na bidhaa nyingine nyingi.Nimeridhika na ubora...
Habari za kutwa wanajamvi,
Ndege ya ATC imelazimika kurudi Kigoma mchana huu baada ya kioo (windscreen) kupata ufa (crack) ikiwa hewani mara baada ya kuanza safari yake kurudi Dar es Salaam. Watu...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imewataka waajiri wa sekta binafsi kuwasilisha vyeti vya kuzaliwa vya wafanyakazi wao ili kuhakikiwa na kubaini kama ni halali au la.
Akizungumza...
The energy regulator has revised fuel prices marginally downwards, citing falling international prices.
On average, the price of kerosene decreased by Sh2.58...
Taarifa iliyoripotiwa january 15 2013 imeeleza kwamba kwa sasa Nigeria imeteuliwa kuwa makao makuu ya dini inayomuabudu shetani.
Nigeria, Ghana na South Africa ndio nchi zinazotajwa kuongoza kwa...
Naomba kujua, eti kama umetoa vitu Zanzibar-Dar, pale getini huwa utaratibu ni upi. Mfano:
1. Kwa vitu vya matumizi ya ndani kama RadioKubwa, FulDesktop PC, Fridge au BigTV.
2. Gari dogo...
wanadai malipo yao ya pili ya korosho,jamaa wamekata Gogo kubwa na kufunga barabara ya Mtwara/Newala
Waliuza Korosho mwaka jana wakalipwa malipo ya awali na ya pili bado.
Mytake.Serikali lipeni...
A shipment of 18 human heads, still covered in skin, was held at Chicago O'Hare International Airport by U.S. Customs and Border Patrol.
Customs officials halted the heads for investigation...
Jamani naomba kuuliza samwel sita kwenda kujenga ofisi ya spika urambo kwa gharama kubwa namna hiyo tena pesa zetu sisi walipa kodi ni sawa ? Sasa kama kila atakayeshika nafasi ya uspika anakwenda...
Kwa sababu kuna graduate wengi hawana ajira, Kwa sababu elimu inamsaidia mtu katika kuongeza uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi.
Kwa sababu Polisi wamethibitisha kuwa na uwezo mdogo wa...
muafaka haujapatikana na wazazi wamekubaliana kua wanachotaka ni ufafanuzi kutoka wizarani kuhusu kupanda kwa ada pasipo kushirikisha wazazi.
ilitegemewa naibu waziri MULUGO angekuwepo alakini...
Maiti mbili wilayani Kasulu zimenyofolewa baadhi ya viungo vyao. Tukio baya na la kusikitisha ni bibi mmoja wa Heru juu, baada ya kufariki,ndugu zake waligundua hakuwa na midomo.
Wananchi...
Kwa wale wanaotumia star times watakubaliana nami hadi sasa ITV, Channel 5, Star TV na Tumaini TV zipo kwenye majaribio (TEST). Tafsiri yangu ni kuwa bado hakuna uhakika wa kuendelea kuona channel...
Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa)...
Unaenda pale kwa ajili ya kuweka pesa, unakutana na booonge la foleni, unapokaribia kuchukua ticket ya namba , mlinzi anatoa namba zilizotangulia (105) mwanzo na pengine...
Sitokuwa mzito wa hekima kumshukuru muumba kwa kutuwezesha kuwepo jamvini
na kuweza kuvitafuta vidole kwenye la[top na kubonyeza tunapopaitaji
nimekuwa nikifwatilia sana mchakato wa tff na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.