Jamani naomba kuuliza samwel sita kwenda kujenga ofisi ya spika urambo kwa gharama kubwa namna hiyo tena pesa zetu sisi walipa kodi ni sawa ? Sasa kama kila atakayeshika nafasi ya uspika anakwenda kujenga ofisi kwao tutafika ! Naomba maoni yenu,sidhani kama ni msafi kwa jinsi anavyojinadi.