ITV Breaking News-Wakulima Wa korosho wafunga Barabara

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
wanadai malipo yao ya pili ya korosho,jamaa wamekata Gogo kubwa na kufunga barabara ya Mtwara/Newala
Waliuza Korosho mwaka jana wakalipwa malipo ya awali na ya pili bado.
Mytake.Serikali lipeni hela za wakulima hao
 
Hii habari yako ina mapungufu lukuki. Tuambie basi ni wakulima wa mkoa gani. wamefunga barabara sehemu gani, lini wameanza shuhuli hiyo.
Yaani hata kutoa habari rahisi kiasi hiki inakushinda?!!
 
Mi si mwandishi wa habari,waliopo maeneo ya barabara mtwara to Newala Watatujuza zaidi
 
Hii habari yako ina mapungufu lukuki. Tuambie basi ni wakulima wa mkoa gani. wamefunga barabara sehemu gani, lini wameanza shuhuli hiyo.
Yaani hata kutoa habari rahisi kiasi hiki inakushinda?!!

nadhani wewe ndo unamapumgufu....hebu isome tena hiyo habari....
 
Hii habari yako ina mapungufu lukuki. Tuambie basi ni wakulima wa mkoa gani. wamefunga barabara sehemu gani, lini wameanza shuhuli hiyo.
Yaani hata kutoa habari rahisi kiasi hiki inakushinda?!!
watu wengine ubishi jadi yenu.... Barabara ya Newala/Mtwara unategemea ipo mkoa wa Kigoma?
 
Dada Zubeda kwanza 2nashukuru kwa habari yako hao wanaokukosoa wasikuvunje moyo haujakosea kwani kama ukisema barabara ya Mtwara/Newala hapo ni mkoa wa Mtwara
 
Shukran sana,ila mi ni kidume,aisee
Huyo anaelaumu huenda alisoma seminary huko ni spoon feeding.....watu wamefunga njia kuanzia saa kumi ya usiku mpaka muda huu bado anahoji nini..
 
unashangaa zubeda kua kidume?? umezoea majina ya kwenye bibilia e!!!
 
Imekula kwao watu wa kusini bado wajinga waache waliwe tu
 
swala si kufunga barabara...mtakaoumia ni wenyewe...magamba wala hayapo hapo.
vipi vitambaa na khanga zimeshachakaa? mtakoma kuringa na ubishi wenu.na bado
ngoja tupandishe bei ya mafuta...mpaka msage meno.maisha bora kwa kila mtz
 
nilikuwepo kipindi cha uchaguzi maeneo hayo jamaa wanahasira ile mbaya na hawamtambui mbunge wa ccm wao wanadai alishinda wa cuf, zilienda hadi 110 za PT
 
Back
Top Bottom