Kwa sababu kuna graduate wengi hawana ajira, Kwa sababu elimu inamsaidia mtu katika kuongeza uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi.
Kwa sababu Polisi wamethibitisha kuwa na uwezo mdogo wa kupambana na changamoto za uhalifu na mabadiliko kwenye jamii, kwa sababu polisi wamekuwa wakitumia nguvu nyingi kutatua matatizo yanayohitaji akili na kwa sababu Idadi kubwa ya polisi ni watu wasio na rekodi nzuri kitaaluma.
Mimi Napendekeza jeshi la polisi livunjwe halafu tufanye recruitment upya na vigezo vya kuwa polisi iwe elimu ya kiwango cha degree na kuendelea ikiwa ni pamoja na kufaulu kwa viwango vya juu.
Hii itasaidia kuifanya kazi ya polisi kuwa ya kitaalam na yenye uwezo wa kupambana na changamoto za kisasa e.g Organized crime, Cyber crime, Human traficking etc.
Hawa Polisi wa sasa tunaweza kuwaacha wakawa mgambo au hata polisi jamii.
HAYA NI MAWAZO TU.