Wana JF,
Ni ukweli usiopingika kuwa wamachinga wengi wanatoka mtwara.
Na kwa sasa si wamachinga tu, bali waokota makopo, mafundi majiko na kuziba sufuria, ndoo, wapiga debe n.k ni watu wa kutoka...
GHARAMA ya kupiga simu kwa mteja
wa kampuni moja ya simu ya mkononi
kwenda mteja wa kampuni nyingine
sasa zitapungua. Mapendekezo ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa
kampuni za simu...
jamani ni kweli kwamba kufaulu kwa mwanafunzi kunamuongezea mzaz au mlez matatizo???? kwasababu kuna wazazi wengine hufurahia kabisa kufeli kwa mwanae ili kukwepa mambo yaada/karo ya shule kwa...
KIKWETE UNAUKANA VIPI UDIKTEKTA?
Katika hotuba yako ya juzi umeukana udikteta. Pengine ulikuwa sahihi kwa kauli yako lakini katika macho ya watu ambao hayajawakuta na hawafahamu nini kinaendelea...
Habari zenu wanajamvi.Tutaje marais shujaa waliofanikisha UKOMBOZI wa Bara la Afrika.
1. HAILE SELLASIE wa Ethiopia
2. KWAME NKRUMAH-Ghana
3.ABUBAKAR TAFAWA BALEWA-Nigeria
4. AHMED SEKOU...
Mchina aliyekuwa anatuhumiwa kumhongwa DC wa bunda amehukumiwa kulipa faini ya tsh 700,000 au kifungo cha miaka 3.Rushwa haiwezi kukomeshwa kwa adhabu laini kama hizi.
MAKAMANDA wawili wa polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Charles Kenyela wa Mkoa wa Kinondoni na Kamanda wa Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo, wamekwaruzana na kurushiana maneno yasiyofaa...
ndugu wana JF,
Ni hivi punde mh waziri simbachawene ametoka studio za chanel 5 EATV akiwa anaongelea kuhusu ujenzi wa bomba la gesi toka mtwara.
Katika maelezo yake pia alitumia muda mwingi...
Salaam wakuu,
Kesho Ijumaa januari 11, 2013 Mjadala Mkuu katika kipindi cha Tuongee Asubuhi utaangazia mabadiliko ya mfumo wa Digitali na changamoto zake kwa watumiaji, Mamlaka ya Mawasiliano...
Katika kipindi cha habari na matukio kilichorushwa na TBC TAIFA jana ucku, ripota alieko Rukwa aliripoti kuwa kuna Mchina aliekamatwa na nyara za serikali ktk uwanjqa wa ndege wa Mpanda.
Uwongo...
Nimesikiliza leo Watanzania tuzungumze magazeti ya RFA hadi kichefu chefu.Sijui hata aliyempanga kusoma na yeye hajui wanaojua kusoma magazeti?, RFA kwa muda mrefu tumekuwa tukiwapenda ila naona...
Tamko la mkuu ni kama amri , wakazi wa Tanga mjini tekeleza amri ya ya mkuu wa mkoa wenu usafi ni kwa ajili yenu, kila juma mosi ni usafi tuuuu! utaki fifty thousand ijuu yako kalipe kabla...
Jamani wadau hivi hii TLS ni kitu halisi ama kiini macho naomba mnisaidie jamani maana hapa naona mh raisi na mwanae wanahusika moja kwa moja kutokana na maelezo yao
Swali ni kwamba je vijana wa...
Salamu kwa wasomaji na members' wote wa JF. Ninaomba msaada kwenu: Kuna binti wa dada yangu yupo nje ya nchi (Uarabuni) anataka kutuma fedha kwa mama yake ambaye yupo hapa Tz kwa njia ya...
Thursday, January 17, 2013
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, imemkamata raia wa China, kwa tuhuma za kutoa rushwa ya Sh. 500,000 kwa Mkuu...
Katika pita pita nimeona hii habari naona tushee.
Maybe the Pentagon's legendary $600 toilet seat was a bargain.
The personal bathroom used by the secretary of the Interior is so swanky...
Katika hali ya kushangaza, nimepanda daladala na pale Morocco Hotel na humo ndani nimekuta mjadala ambao sijui umeanzia wapi lkn sikuamini masikio yangu kuwa wachangiaji wake ni watu wazima na si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.