tiGO imefirisika?

tiGO imefirisika?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,381
Reaction score
17,608
Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa) wala kurejeshewa hela zetu.

Wananchi kuweni macho na kampuni ya tigo kwa sasa mnawezakulia kama sisi. Bwana Ali alidai yeye ni super-agent wa tigo akatukomba pesa zetu kwa ahadi kuwa atatupatia uwakala wa tigo.
 
Ndugu yangu unajua maana ya kampuni kufilisika au umeamua kuandika.
 
Hela ulilipa kwenye kampuni au kwa huyo dealer?? Kuwa makini na unachoandika wewe sio kukurupuka tu....
 
Maelezo yako hayajanyooka hata kidogo, pia hujui tofauti iliyopo kati ya kampuni na mtu binafsi
 
Poleni sana ila ndio faida ya kupenda shortcut hiyo...
 
bwana ali na tigo ni vitu viwili tofauti kabisa ndugu, acha kuchafua jina la kampuni.. badili heading hapo ulipoandika tigo andika bwana ali!
 
We boya kweli,duuh!!!! Bw. Ali alijua tu ww ni mbulula,utatoaje hela kwa mtu binafsi wakati huduma unayoihitaji ni ya kampuni? Office za tigo zinazohusika kutoa huduma hyo ulikuwa huzijui?Mwenzio Ali yuko batani sasa anatumbua.
 
Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa) wala kurejeshewa hela zetu.

Wananchi kuweni macho na kampuni ya tigo kwa sasa mnawezakulia kama sisi. Bwana Ali alidai yeye ni super-agent wa tigo akatukomba pesa zetu kwa ahadi kuwa atatupatia uwakala wa tigo.

Hapo nilipo-bold, unamaanisha ALLY MANDAI (ex-tigo employee) au mwingine mkuu wangu?
 
Kama tigo wapo si wawasaidie wateja wao wasitapeliwe, kwani Tigo hawamjui huyo bwana Ali?
 
Bwana Ali uko alipo sahivi anakula Bata tu mpaka kuku wanaona wivu,wewe unaangaika na tiGo!
 
tiGo msituzuge Ali Palamba ni mtumishi wenu na ofisi yake (MAKWELI) ina nembo zenu. Amedai tigo imesitisha huduma za kutoa line mpya sasa, hivyo tumemkamata na kumpleka polisi, ukweli utajulikana
 
Mashaka yamenikumba kuhusu mtandao wa simu wa Tigo. Tumetapeliwa hela zetu (1,000,000 kila mtu) baada ya kuomba uwakala wa tigo miezi takriban 6 sasa, hatujapatiwa huduma hiyo (lines, tigo-pesa) wala kurejeshewa hela zetu.

Wananchi kuweni macho na kampuni ya tigo kwa sasa mnawezakulia kama sisi. Bwana Ali alidai yeye ni super-agent wa tigo akatukomba pesa zetu kwa ahadi kuwa atatupatia uwakala wa tigo.

AndiKa barua kwa Uongozi wa tiGo kudai kurejeshewa malipo/fedha hizo, nakala ya barua ipelekwe TCRA. Wasipokulipa andika malalamiko CRA utalipwa fedha yako
 
Tigo wanajiandaa kujisajili kama band ya muziki sio kampuni ya simu kwa hiyo mzee imekula kwako mazima!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom