Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hali ya kushangaza, nimepanda daladala na pale Morocco Hotel na humo ndani nimekuta mjadala ambao sijui umeanzia wapi lkn sikuamini masikio yangu kuwa wachangiaji wake ni watu wazima na si...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo kuanzia mida ya saa kumi jioni kulikuwa na mkutano mkubwa uliofanyika katika viwanja vya bima katikati kabisa mwa mji wa Mtwara. Mkutano huo ulioandaliwa na CUF ulihudhuriwa na Bwana Katani...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Waungwana, kuna jambo huwa linanitatiza sana, nimekuwa nikizunguka mikoani katika shughuli za ujenzi wa taifa, na karibu kila mkoa nimekua nikikutana na ombaomba ambao almost ni watu walewale toka...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Nilijiunga na SUPA CHEKA ya VODACOM kwa kulipa Shs. 400. Nilipewa dakika 15 za maongezi, SMS 100 na MB 50 za intaneti. Ajabu ni kuwa baada ya kutuma SMS 28 nililetewa meseji na VODACOM kuwa SMS...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Heri ya mwaka mpya. Please naombeni kufahamu kodi inayotakiwa kulipwa TRA kama unataka kufungua Consultant Firm. Nina imani wapo wengi ambao ama wanafanya shughuli hii au wana uelewa na hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utakuta mkaka au mdada msafiii make up, ma lips shadow nini, lakini mgari umenyewa na kunguru kwenye boneti na mavumbi kibao nyuma hadi watoto wameandika " niosheni". Sasa naomba kujua tafsiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALI imesema haitavumilia kwa namna yoyote ile vurugu za kidini, kikanda na ukabila ambazo baadhi yake zilitia doa taifa mwaka jana. Rais Jakaya Kikwete alitoa msimamo huo huo juzi...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Habari ndugu, naomba msaada kuna mtu yoyote anaweza kujua ni wapi naweza kukodisha Tractor. Ningependa kupata sehemu ya Mkuranga. Nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akizungumzia madai hayo Simbachawene alisema: “Hapana si kweli, ningekuja hapo mjini nisingejificha… Tatizo la wananchi wetu hawajapata elimu sasa nitaendaje huko kimyakimya ili iweje? Jana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Diwani wa CCM wa Kata ya Ifunda katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijjini, katika Jimbo la Kalenga, Eliya Mngwila, anadaiwa kufumaniwa na mke wa jirani yake juzi usiku kasha kukatwa sikio la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kusini iliwekwa kuwa ni jela kwa watumishi wa umma au serikali wanalioharibu mikoa mingine.Huwa wanawapeleka kuwapa adhabu Mtwara na kungenezo.Kwa hiyo wana Mtwara hiyo ni sera ya siri ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hapa tutaona jinsi gani serikali ya tanzania ilivogeuza mradi wa power plant ya 300mw,kupitia fedha iliyokopa ktk bank of china 13.10.2011(Exim) kiasi cha dola za kimarekani cha 684,kwa mradi huo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma, limempandisha kizimbani Diwani wa Kata ya Kigoma Mjini, Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwa tiketi ya CHADEMA, Zacharia Chilangwile, kwa tuhuma mbili za kubaka na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Salam kwa wote Jaman naombeni msaada wa kituo ( kiwe dar es salaam) kinacho saidia vijana wanaovuta bangi. Nina wadogo zangu wanavuta bangi nimejaribu kuzungumza nao naona imeshindikana kuacha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa nishati unafanya nini mpaka dr.mwakyembe aikatae isishushe mafuta feki?meli ile ile na mafuta yaleyale yalikataliwa na tbs dec2012,kurejea tena dar ni kebehi kwa watanzania
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hawa jamaa ni watumishi wa benki ya NMB tawi la Maswa na wapo kitengo cha mikopo.Hawa jamaa hawakupi mkopo mpaka uwahonge.Kiwango cha hongo kinategemea kiasi cha mkopo unachoomba.Kwa formula fupi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi karibuni na toka zamani nimesikia watu wakisema jeshi letu lina nguvu sana na lina wataalamu wazuri. Hivi wanaosema hivyo huwa wana reference za kutosha au wana viashiria vinavyoonesha uzuri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimepigwa na butwaa nilipotinga Shrijee Supermarkato hapa Oystebay, jijini Dar es Salaam , na kuona maajabu ya Musa. Mhudumu wa KIKE wa Kitanzania anapekuliwa kwa kutomaswa (shikwa shikwa) na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf ni tarifa muhimu kutoka JWTZ inayo husu mikopo kutoka kwenye maduka yao. Kumekuwapo na wizi mkubwa ndani ya Jwtz inayo husu wanajeshi wasio kuwa watiifu ku gushi vitamburisho...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jf naombeni msaada kwa mwenye kufahamu Rita ilipo.ni sehemu wanayotengeneza vyeti vyakuzaliwa.nataka 2mr nikalipie.sasa sifahamu mahali ilipo kwa hapa Dar,na kiasi gani wanatengeneza.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom