Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,091
Reaction score
865
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.
IMG-20261015-WA0155.jpg
IMG-20261015-WA0156.jpg
 
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.View attachment 3691209View attachment 3691210
Hangaikeni tu ila yote kwa yote Mungu siku zote huwa anadhihirisha ukuu wake na sio mbali mtaumbuka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom