Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Sasa wala si suala la aibu au kufichaficha, ila ukweli ni kwamba kwa sasa Wanawake (baadhi) ukiwa nao Faragha (Mapenzini) ama wanakuomba au wanakulazimisha Uwaingilie nyuma (mkunduni) yaani...
7 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya kwa juhudi zake za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda maadili, akimtaja...
14 Reactions
52 Replies
646 Views
Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana...
1 Reactions
2 Replies
59 Views
Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe...
4 Reactions
41 Replies
531 Views
Wakuu hizi simu za aquos kama wewe ni mtumiaji wa 3g tuu vipi bado utakosa network kama wadau wanavyo dai?
4 Reactions
44 Replies
322 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka wananchi, viongozi, waandishi wa habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii...
1 Reactions
0 Replies
16 Views
"We All Came from Africa: The Genetic Truth Makes Us All Cousins" - Jane Elliott; ■An Epic Homecoming. That Part of Africa is Tanzania! ■Tanzania Hosts IPU 137 Years after its Founding. ■By...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai. Chai lazima iwe...
28 Reactions
92 Replies
832 Views
Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Utumwa mamboleo (modern slavery) ni tatizo kubwa la kijamii na kiuchumi linalo wakabili vijana wengi waliohitimu vyuo vya elimu ya juu. Wahitimu wa elimu ya juu nchini Tanzania wanakabiliwa na...
4 Reactions
12 Replies
481 Views
Ni seme tu ukweli mimi binafsi kuna baadhi ya members humu jamiiforums toka wameanza kupost miaka mpaka leo huwaga sielewagi post naonaga tu kama wana jaza server na sijui kwanini niko na mtazamo...
8 Reactions
42 Replies
520 Views
Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji, Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe. Madereva Maopereta Ma Foreman...hasa wale wanoko SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji...
11 Reactions
36 Replies
567 Views
Swali linalotangulia Mazingira yangu ni yapi ni ... Jirani yangu ni nani? Tulipofundisha kwenye dini zetu kuwapenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe wengi walidhani jirani ni yule...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu! Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha...
81 Reactions
227 Replies
33K Views
nacheki bonge moja la muv la kuitwa woter word move inawausu binadamu ambao wamepotelea kati kati ya ulimwengu wa bahari na kiu yao kubwa ni kuipata nchi kavu mwamba mmoja katili sana baada ya...
0 Reactions
3 Replies
34 Views
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania. Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria...
9 Reactions
39 Replies
470 Views
Nitoe tu pongezi zangu nyingi kwa Waliolipanga hili kwani limekubalika kila kona na sasa kila mahala ni YOU BETTER WATCH YOUR BACK LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA huku sakata / suala la Tundu...
3 Reactions
21 Replies
281 Views
Uzi tayari. Si ndio ilikuwa?
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Try Again Again Again Again Again Again Again Until you make it..💪💪
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…