Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM...
7 Reactions
34 Replies
461 Views
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Anonymous
Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya...
1 Reactions
1 Replies
44 Views
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo... Ernest Sungura Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi...
1 Reactions
7 Replies
256 Views
Tunazaliwa tukiwa ‘sisi.’ Orijino. Hatuogopi kukosea. Hatuogopi kupenda. Hatudanganyi. Hatuumizi. Tunadadisi. Tunafikiri. Tunauliza. Tunatafuta majibu. Hata hivyo, imani kuwa ni salama kuwa...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz. Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye. Cha ajabu mbunge na akili...
17 Reactions
165 Replies
2K Views
Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa...
4 Reactions
43 Replies
704 Views
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu...
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Sina mengi angalia mwenyewe, lakn najua chanzo ni sadaka au mchungaji anakula kondoo ya huyo mwamba
2 Reactions
7 Replies
113 Views
Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya...
3 Reactions
20 Replies
285 Views
#plotforsale Gezaulole kigamboni Ukubwa sqm 3500 Block 16 Inauzwa milion 290 Full documents #daressalaam🇹🇿 #kigamboni #tanzania #realestate
1 Reactions
0 Replies
28 Views
"Uwekezaji wa SAMIA Afya kivutio UNGA" >Rais wa Namibia Ataka uwe mfano afrika. >Waziri akumbushia kauli mbiu 'jiongeze tuwavushe salama'.
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Wakati wa mkutano wa UNGA mataifa au mashirika mbalimbali hutumia ile platform kupush agenda zao mbalimbali ambazo wao hudhani zinaweza pata attention ya kidunia maana ni likely dunia nzima huwa...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Wakuu Habari za Uzima, Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST...
4 Reactions
62 Replies
496 Views
Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye...
5 Reactions
12 Replies
221 Views
Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu...
2 Reactions
6 Replies
51 Views
Sonona (depression) ni tatizo linalohusishwa zaidi na mtu kushindwa kuachia hasira zake kwa muda mrefu. Unapokutana na jambo linalokuumiza, halafu kwa sababu mbalimbali ukakosa namna nzuri ya...
3 Reactions
8 Replies
98 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…