Jiji limekuwa safi kabisa

Jiji limekuwa safi kabisa

Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa
Wewe mdau hapo jijini kwako hali ikoje?
🔹 Usije ukafutahia jambo kama hilo Lina madhara makubwa Sana kijamii na kiuchumi

🔹 Kuna Mmoja wa ndugu zako lazima atakuwepo ambaye alishajitoa kwenye utegemezi Sasa anakuwa tatizo tena

🔹 Nchi kama India zimeendelea kuliko sisi lakini wajasiriamali wanapanga bidhaa mpaka relini treni ikija wanatoa ikipita wanaendelea. Nchi haiendelei kwa direct tax za MATAJIRI Bali indirect tax za wananchi wote

🔸 Kuna muda tutafika vipaumbele vya nchi vitakuwa kupangilia miji lakini Sasa tunajitafuta kujilinganisha na New York tunajidanganya

▪️ Kuna vijana walishascha wizi Sasa walikuwa wanajitafutia 5000 kwa siku Sasa unafurahia wskirudia kazi zao ukikutana nao wakikutoa roho na huo usafi unaofurahia itatusaidia nini?
 
Pale zakhiem wanavunjaga hivyo hivyo baada ya muda wanajenga tena haipiti hata miezi miwili.

Gongolamboto bado pachafuu panatia kinyaa, Mbezi naona wanajenga masoko ya mfano hongera kwao.

Manzese pale wanatakiwa wawachomee moto biashara zao ili paeleweke, Kawe nimepafurahia kuna ustaarabu sasa na hewa inapumulika, Tegeta wale naona hawajitambui
 
🔹 Usije ukafutahia jambo kama hilo Lina madhara makubwa Sana kijamii na kiuchumi

🔹 Kuna Mmoja wa ndugu zako lazima atakuwepo ambaye alishajitoa kwenye utegemezi Sasa anakuwa tatizo tena

🔹 Nchi kama India zimeendelea kuliko sisi lakini wajasiriamali wanapanga bidhaa mpaka relini treni ikija wanatoa ikipita wanaendelea. Nchi haiendelei kwa direct tax za MATAJIRI Bali indirect tax za wananchi wote

🔸 Kuna muda tutafika vipaumbele vya nchi vitakuwa kupangilia miji lakini Sasa tunajitafuta kujilinganisha na New York tunajidanganya

▪️ Kuna vijana walishascha wizi Sasa walikuwa wanajitafutia 5000 kwa siku Sasa unafurahia wskirudia kazi zao ukikutana nao wakikutoa roho na huo usafi unaofurahia itatusaidia nini?
Acha kutetea ujinga..kosa tu kubwa la serikali ni kutokuwa na sera nzuri za viwanda au kuwapa maeneo rasmi wamachinga ya kufanyia biashara.

Ni upuuzi kuruhusu kila pahala pawe pa kufanyia umachinga.
 
HATUWEZI kufanana na wahindi na ule uchafu wao.
 
Hii barabara ya Nyerere ,kuanzia banana ,Mombasa na gongo la mboto .( Hasa gongo la mboto barabara imezibwa na wafanyabiashara wadogo, hasa nyakati za jioni .wamezba mpaka service road,kigamboni napo maroli ya mafuta nayo ni kero hasa ukivuka daraja kwa mbele .wahusika chukueni hatua
 
🔹 Usije ukafutahia jambo kama hilo Lina madhara makubwa Sana kijamii na kiuchumi

🔹 Kuna Mmoja wa ndugu zako lazima atakuwepo ambaye alishajitoa kwenye utegemezi Sasa anakuwa tatizo tena

🔹 Nchi kama India zimeendelea kuliko sisi lakini wajasiriamali wanapanga bidhaa mpaka relini treni ikija wanatoa ikipita wanaendelea. Nchi haiendelei kwa direct tax za MATAJIRI Bali indirect tax za wananchi wote

🔸 Kuna muda tutafika vipaumbele vya nchi vitakuwa kupangilia miji lakini Sasa tunajitafuta kujilinganisha na New York tunajidanganya

▪️ Kuna vijana walishascha wizi Sasa walikuwa wanajitafutia 5000 kwa siku Sasa unafurahia wskirudia kazi zao ukikutana nao wakikutoa roho na huo usafi unaofurahia itatusaidia nini?
Warudi vijijini wakalime, sio lazima kila mtu aishi mjini.
 
Shudu...hatuwezi na hakuna nchi inyotaka kufanana na India kwa uchafu
 
Acha kutetea ujinga..kosa tu kubwa la serikali ni kutokuwa na sera nzuri za viwanda au kuwapa maeneo rasmi wamachinga ya kufanyia biashara.

Ni upuuzi kuruhusu kila pahala pawe pa kufanyia umachinga.
Hii operation haijawahi kufanikiwa na haitaka ifanikiwe. Hii ni strugle for existence. Kila mtu anajipeleka pale riziki inapopatikana. Attempt kubwa ziliwahi kufanyika zikatumika rasilimali kubwa za nchi kama kujenga machinga complex lakini baada ya muda Hali inarudi pale pale. FEDHA zimetumika nyingi lakini watu wamerudi wote lazima TUKUBALIANE na hali
 
Back
Top Bottom