kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
Maisha yanaenda kasi sana
Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi
Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum
1.Hupata taarifa za pamoja...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani...
Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama .
Ametoa rai hiyo...
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026.
Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa?
Mwaka jana...
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu!
Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa...
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita.
Mimi namuunga mkono na nitamchangia...
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
MILLIONAIRE SPECIAL THREAD — KARIBU VIJANA WAPAMBANAJI
Kuna watu wanatafuta hela.
Kuna watu wanatafuta fursa.
Na kuna watu wanaamua kujenga mifumo itakayowazalishia hela.
Kuna muda hasa nyakati...
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa...