Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi, Bila shaka leo yetu ni nzuri na njema sana na MUNGU awape wepesi wote wenye changamoto na matatizo mbalimbali. Haya soma hapa sasa na hii ndio sababu ya huu uzi. Hivi wale...
0 Reactions
2 Replies
54 Views
Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
2 Reactions
1 Replies
68 Views
Heshima yenu wana JF Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara,lakini changamoto kubwa ambayo huwa ninaipata japo si mara kwa mara ni maumivu na kuota kwa vipele upande wa kwenye kisogo. Je ni nini...
1 Reactions
8 Replies
547 Views
Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
0 Reactions
13 Replies
611 Views
Unaitumia kila siku na unaishi ndani yake siku 7 za wiki, rangi 7 za upinde wa mvua juu ya kichwa chako, na noti 7 za muziki kwenye kila wimbo uliowahi kukutoa machozi. Lakini swali ambalo watu...
12 Reactions
33 Replies
558 Views
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
11 Reactions
118 Replies
24K Views
HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha. Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika...
5 Reactions
9 Replies
123 Views
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila...
7 Reactions
17 Replies
252 Views
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani? 2: Papuchi- ni tunda au nini haswa? 3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati 4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio? 5...
4 Reactions
15 Replies
162 Views
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja...
4 Reactions
31 Replies
290 Views
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM. Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote...
7 Reactions
34 Replies
434 Views
A) Wayahudu Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha...
1 Reactions
0 Replies
16 Views
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa. Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa...
3 Reactions
10 Replies
136 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…