Tuutafakari msemo kwa siku ya leo!

Tuutafakari msemo kwa siku ya leo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,064
Reaction score
28,135
Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.
1000020095.jpg
 
Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.View attachment 3692364
Kinachonifanya nitafakari si msemo wenyewe, bali sababu inayoufanya ukubalike na wengi. Wakati mwingine jamii humfundisha mtu kufuata kanuni bila kuhoji, kiasi kwamba kuzipinga huonekana kama kwenda kinyume na dunia.

Lakini swali ni hili: Je, kila kanuni inayotawala dunia ni ya kweli, au nyingine zinaendelea kutawala kwa sababu tu watu wengi wamezikubali? Hapo ndipo tofauti kati ya kufuata mfumo na kuuelewa mfumo ilipo.
 
Back
Top Bottom