Barabara inayotoka chalinze kwa mwarabu kuelekea Talawanda Sekondari inatia AIBU haipitiki hasa eneo la Daraja la Mbiki badala ya kuweka kokoto wameweka udongo wa Mfinyanzi ni tope tupu magari...
Ndugu wana JF,
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na...
Ni kamchezo fulani ambako usipokuwa na displine anguko lako lipo karibu, Sikuelewa wakati nilipomuona mtu anaedai kupoteza kila kitu kwenye kamari, Nilimuona mjinga nikijiuliza "Amepotezaje???"...
⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️
Tunaomba msaada wa wananchi wote.
Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana.
📍 Maeneo...
Mik 5:4 SUV
[4] Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
Kipindi nabii Mika...
Anaandika Polo Kimani
The first thing Mzungu did when he introduced education here,was ensuring he engineered in the african mans brain that his home is not his home. Those in kenya,were told...
Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini...
Nimeona taarifa mtemi wa jf ameachiwa huru baada ya kushinda rufaa, hata hivo alibakiza muda mchache amalize kifungo chake
Alifungwa kwa kosa la kumuita mama yake na baadhi ya viongozi wa...
Nimejaribu kuwaza kwa sauti tu....
Elimu/ujuzi wa veta imekua ni elimu ambayo wengi wanaifata baada ya kuwa wamefanya vibaya kimasomo na mara nyingi baada ya kufeli elimu ya secondari au wengine...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa...
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kutekeleza matukio mbalimbali ya uvamizi na upigaji wa nondo na kupora mali za wananchi jijini Mbeya...
Wakuu
Nimekuta na Video pamoja na picha hizi zikionyesha eneo kubwa limefyekwa Mahindi, kwangu hii si sawa kwani mahindi naamini hayana muda mrefu kuvunwa shambani, wangesubiri tu.
Hali ya...
Jinsi Mungu anaweza akaleta baraka katika maisha yako.
1.Mungu anaweza kuleta baraka kwa kukutanisha na mtu anaweza kuwa rafiki au mpenzi akakupenda wewe jinsi ulivyo, kukujali, kukuheshimu na...
Ndg waalimu ni mahaba ya kazi yenu ama vipi?
Imagine mtoto tangu saa12 asubuhi mpo nae hadi saa11 jioni mna muruhusu arudi akale nyumbani Kisha saa1 usiku hadi saa4 mnamtaka tena awe prepo...
Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani ...
Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 335 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.