Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na...
Hawa jamaa mbona kama wanawizi Fulani mwanzoni walikua wanatoa gawio la kueleweka Sasa hivi kama Kuna utapeli Fulani hivi yaani million 19 gawio liwe 158000 pumbavu sana Hawa jamaa niliweka mwaka...
Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole.
Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine...
Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero...
Mara kwa mara toka kale tumekuwa tukijinasibu kwamba sisi hatuna ukabila wala chuki kwa kujilinganisha na majirani zetu wa Kenya,
Lakini cha ajabu waTanzania tumekuwa na mambo ya kutia aibu sana...
Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu...
Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana.
Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata...
Ndugu habari,
Tarehe 17/3 nilikuwa nchini Tanzania mkoani Dar es Salaam nilikokuja kuweka mambo sawa ili tarehe 18/3 niondoke kwenda Afrika kusini kwenye matibabu.
Ila hii tarehe nilishinda...
Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa.
Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka,
Naweza kuamini kwamba baadhi ya...
Kama ukipata time ya kufurahia maisha fanya hivyo kwa kiwango cha juu zaidi kana kwamba ni siku yako ya mwisho kwenye hii dunia.
Furaha ni muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu hata kama life ni...
Umekuja fashion ya kufuturisha
Wanaalikana matajiri tu
Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi
Kuna watoto yatima,.wazee, na...
Kwa wale ambao muda mwingi wanautumia ofisini basi ukifika uzeeni kama sio kwenye wheel chair basi ni utakua wale wazee wa kuanika na kuanua, lakini hiki sio ata tatizo kuu zaidi ya kutumia...
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni...
Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa...
Kupitia kikao cha CMT ya Mapato cha Tarehe 19/01/2026 iliazimiwa kuwa Watendaji Wote wa Kata na Mitaa wahamasishe Wananchi walio katika Maeneo yao ambao wanamiliki Majengo ya Ghorofa kuyapaka...
Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha....
Sio maneno yangu ila andiko hili hapa....
sahih...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.