Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

Mshahara wa mwezi Januari umetoka?

gomz120

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
681
Reaction score
385
Waungwana naomba kuuliza mwenye taarifa za salary ya mwezi huu kama imetoka kuna mtu namdai hapa
 
Tayari kwa wateja wa NMB
IMG-20211228-WA0403.jpg
 
Leo asubuhi nilichukua mshahara wa mwezi wa kwanza maeneo ya Posta, huwezi kuamini mpaka saa nane nipo city garden umekwisha pyuuu niko na Kadogoo Manka katoka Rombo.
Duh mkuu umechukua mshahara leo umemaliza leo?
 
Leo asubuhi nilichukua mshahara wa mwezi wa kwanza maeneo ya Posta, huwezi kuamini mpaka saa nane nipo city garden umekwisha pyuuu niko na Kadogoo Manka katoka Rombo.
Huwezi ishi kwa mshahara mshahara ni wa kukopea
 
Back
Top Bottom