Uhaini wa Katuga vs Uhaini wa Tundu Lissu

Uhaini wa Katuga vs Uhaini wa Tundu Lissu

5. Mapotoa hizo haki, kwamba haitakiwi kuingiliwa?
6. Uliwahi kumuona askari anaingia na kura feki? Ukamkamata?
 
7. Tanzania hii kuna mauaji ya vyanzo mbalimbali, kama vile mivu, mapenzi, biashara
8. Unajua masuala ya mauaji siyo ya uchaguzi, ni jinai
 
9.. Msafiri Mbwambo ameuawa sababu ya uchaguzi au wakati wa uchaguzi

10. Hujui suala la utekaji ni jinai

11. uliona anauawa

12. sababu gani za uchaguzi zilipelekea kuuawa

13. hizo pesa mlichangisha watu

14. unamjua muuaji
 
16. Katika mauaji yote uliyoyataja mangapi uliyashuhudia mwenyewe kwa macho yako

17. Ulishuhudia wauaji wakiwa wanatekeleza hayo mauaji

18.
 
Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe


View: https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10

ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga

1. ATAPINGA KWA KULETA VITA
2. Mlihamasishana na wananchi kwenda Magomeni.
3. Mlikuwa kundi, ikabidi Polisi wawatawanye
4.

TAL is a GREAT TEACHER he know how to articulate issues hadi unaelewa!
Tanzania is very honoured to have such a great mind as its son of the soil

yaani hii Kesi imenifanya nirudie tena hili DARASA

haya chawa wa mama piteni LEFT kama mnaaga maiti!
 
Back
Top Bottom