Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,291
1. Inapotokea dharura au maafa, mtu wa kwanza kuokoa maisha yake ni...
Wewe mwenyewe. Haileti maana kuongeza idadi ya wahanga kwa kuacha kuchukua tahadhari muhimu za lazima kulinda maisha yako mwenyewe.
2. Mtu wa pili kuokoa maisha yake ni ....
Muokoaji mwenzio. Huyo anapokuwa kwenye hatari iliyokithiri ni wajibu wako kumuokoa.
3. Mtu wa tatu kuokoa maisha yake ni...
Muhanga wa janga / maafa.
Katika kuzingatia Na. 1 na Na. 2, kasi ya uokoaji husitishwa kwa muda au hata moja kwa moja. Ni kawaida kwenye masuala ya uokoaji.