Kitu gani kinafanya taifa kuitwa limeendelea?

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Messages
564
Points
1,000

Shayu

Platinum Member
Joined May 24, 2011
564 1,000
Hili ni swali la kimsingi la kujiuliza! Je sisi tumeendelea na kwa kiasi gani?

Taifa litaitwa limeendelea ikiwa watu wake wana uwezo wa kutengeneza au kugundua wao wenyewe na kisha kujitegemea kitechnologia na kifikra. Nje ya hapo taifa haliwezi kujiita limeendelea kama halina watu wenye ujuzi wa kulifanya kusimama lenyewe kama taifa kwa kuzalisha lenyewe sio kuagiza tu kila kitu. Wenye nguvu ni wale wenye uwezo wa ku create things.

Kama hatuna uwezo huo wazungu hawawezi kutuogopa kwasababu hatuna technologia. Nafikiri tunahitajika kuwekeza katika watu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Shayu Great Thinkers 0

Forum statistics

Threads 1,389,041
Members 527,837
Posts 34,016,064
Top