Anaitwa Khalid Ramadhan tunda ukipenda muite tunda man ni kichwa kinachosumbua kwenye anga za bongo flavor.Kwa wanaomkubuka feruzi na nyimbo zake za malalamiko zilivyosumbua miaka ya mwanzoni ya...
Jamani naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza Channel 5 kwa kuzidi kutuletea ubunifu mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine inatufanya tuburudike,
Hiki kichura ambacho mara nyingi huonyeshwa...
Chaguo langu leo kwa wadau ni
1.
MPOTO feat BANANA nikipata nauli
2.
Tinchy Stryder Ft Amelle Berrabah - Never Leave You
3
Knock You Down Keri Hilson Feat. Ne-Yo & Kanye West
4
Tinchy Stryder...
Ningependa wapenzi wenzangu wa novels mnipe recommendation zenu za vitabu gani ni `must read`, manake vitabu kununua kidogo ni ghali kwa hiyo kununua kwa kubahatisha tu huwa kunachosha..
sibagui...
Students EP tops iTunes hip-hop charts first week out
NEW YORK - The name "Sam Adams" mainly has been associated with several American historical figures and a popular Boston beer until...
Aliekuwa mchezaji wa simba Abadallah kibaden king ameweka wazi kwenye moja ya gazeti la toleo la leo la mchezo kwamba alipata mke kutkana na mpira,...
akiongea na mwandishi wa habari kibaden...
HIZI TUZO SASA! JOH MAKINI TV QUEEN OF THE YEAR?
3. TV Queen Of The Year
Problem - CP
Stimu Zimelipiwa - Joh
Spare Tairi - Matonya
Kwa Ajili Yako - Hussein M
Karibu Kiumeni - Chege
Tupeana burudani kwa kila 1ja kuwakilisha nyimbo chache anazopenda kutusikilizisha
Naanza kama Dj wenu
Sikilizeninyimbo hizi
Right Round wa Flo rida
Nimependa beats za huu wimbo nadhani...
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.
Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor...
Kuna wimbo huu hapa chini kwenye link unaitwa Kalume, umeimbwa na Tshala Muana. Nimeupenda sana lakini sifahamu tafsiri yake. Anaonekana akiimba akiwa na mwanamume na inaelekea kuna maongezi...
69-year-old Ruth Flowers is a living example that age shouldnt get in the way of things youre passionate about. Ruth does extraordinary things, for her age.
Known as Mammy Rock, around the...
TAMASHA kubwa la filamu za Bara la Asia linatarajiwa kuanza kesho katika Ukumbi wa World Cinema uliopo Mwenge jijini Dar na kumalizika Machi 25 mwaka huu.
Katika tamasha hilo nchi...
Siku hizi ukisikiliza radio za fm,utagundua jambo moja..
kwamba radio karibu zote zimeaajiri mashangingi kwa
ajili ya kuendesha vipindi hasa mchana......
mwanzo ilikuwa radio moja tu.sasa ni...
Kuna wimbo huu hapa chini kwenye link unaitwa Kalume, umeimbwa na Tshala muana. Nimeupenda sana lakini sifahamu tafsiri yake. Anaonekana akiimba akiwa na mwanamume na inaelekea kama maongezi...
Mtangazaji wenu akikuwa ni RIP Dominick chilambo.
Uwanja Ni CCM kirumba ,mwanza.
Mpira ulikuwa unatangazwa kwenye radio lakini utadhani unauona kwenye TV.
1. Paaul Rwechungura / Madata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.