The "Don" of Tanzania's Entertainment , Joseph Kussaga, strikes again

Mchokonozi

Member
Nov 17, 2009
15
0
Ile show ya mwanamuziki mahiri wa Burundi, "Kidumu", imekuwa sabotaged.

Nawasiliana na waandaaji wa show hiyo leo baadaye ili niupate mkanda wote, kisha nitapost hapa kesho, muone jinsi "The Don" anavyofanya kazi yake.

Yaani imekuwa hasara tupu, mwanzo mpaka mwisho.

Si kuna mtu aliwahi kusema kwamba Joe hapendi watu wengine wasifanye kazi kwenye entertainment industry NINYI MKABISA? Au mmesahau?

Sasa jamaa amejidhihirisha tena, kwa kusabotage show ya mtu mzima Kidum!

Kaeni mkao wa kula... full story inaingia kesho!

Kwaheri!
 
si ungesubiri hio kesho uje na data kamili...................
 
Back
Top Bottom