Big Brother Africa 2009: The Revolution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Discussion in 'Entertainment' started by Mbogela, Sep 6, 2009.

 1. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  With just a few hours to go before the launch of Big Brother Africa: The Revolution, speculation is widespread about where the new housemates could be flying in from.

  Fans live you from all over the African continent will be glued to their DStv screens to finally meet the characters who are going to keep them entertained for the next 91 days.

  In true Big Brother style, this year’s promises to be a rollercoaster ride that will keep viewers guessing until the winning housemate walks away with the prize.

  The New Presenter.


  [​IMG]

  This Big Brother Africa introduces a new presenter: the spectacular Nigerian television star, IK who is ready and on stand-by for the Live Launch Show on Sunday. Find out more about IK and what he had to say about being at the helm of the BBA Revolution.

  The Revamped House


  A new presenter is not the only element of the Revolution. The BBA House has been transformed into a fabulous pad that blends functionality with luxury, ready for the housemates to finally move in and turn it into a home. Check out some pictures of the house here
  Where is your remote control?

  The Live Launch Show will be aired at 17:00 Central African Time today Sunday, the 6th of September 2009.

  Viewers can watch Big Brother Africa 24 hours a day on DStv channel 198. The daily show, live nominations and eviction shows will be broadcast on M-Net Africa (DStv channel 102). Africa Magic (DStv channel 107) will broadcast all repeats.

  Beyond Television


  The Revolution would not be complete if it didn’t extend to the massive Big Brother online platform. Keep your eyes peeled for interesting developments on the BBA website.

  Fans, old and new, get ready because Big Brother: The Revolution is about to come alive!

  HOUSEMATES:

  Edward Namibia

  [​IMG]


  Hannington Uganda

  [​IMG]

  Itai Zimbabwe
  [​IMG]

  Jeremy Kenya
  [​IMG]

  Kaone Botswana
  [​IMG]

  Kevin Nigeria
  [​IMG]

  Leonel Mozambique
  [​IMG]

  Phil Uganda
  [​IMG]

  Quinn South Africa
  [​IMG]

  Teddy Kenya
  [​IMG]
  Wayoe Ghana
  [​IMG]

  Yacob Ethiopia
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Sep 6, 2009
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  kwa tz itarushwa tv gani?
   
 3. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamata DSTV mwana..hahaha
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Natamani tanzania iwakilishwe na msichana na ikiwezekana wamlambe ili unafiki wetu ujionyeshe,,,,,,,,,richard aliposhinda baada ya kuwalamba wasichana wa nchi zingine tulishangilia na kumpokea kishujaa,nitafurahi tukiwakilishwa na msichana mmoja slut hivi.....
   
 5. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ha ha ha BBA ya kwanza Mwisho kidogo ale Tapiwa (Zimbabwe) na alipigwa kiss na Cherrish (Zambia) tukafurahi. Mwaka Jana Latoya hakuvua lakini tayari tukamuita Maharage ya Mbeya, Watz wengi walimind, sisi hatupendi kuona Dada zetu wanabanjuliwa, tuna wivu hasa!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  sio wivu ni tatizo la kuwa na mentality za ki primitive,na kukosa mambo ya maana ya kuyashangalia na kujivunia.....so tunatafuta mashujaa at the wrong places,na waki behave tofauti tunaona tunadhalilishwa wakati sex ni suala la mtu binafsi,
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  nasikia mwaka huu anatuwakilisha KANUMBA kuna ukweli wowote hapo wana JF
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  lugha baba lugha kule inaongelewa lugha lol.
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Check this Out:

  Big Brother Africa - Season 1 Highlights (2003)

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=1yXElMLRcX4[/ame]
   
 10. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Latoya ameishia wapi?
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  As four African celebrieties are in the house waiting for 14 contestants from different affrican countries, Tanzania is being represented by Kanumba whose English is as bad as he better stay quite...Mmmhhh Channel O's sexy and beautiful Nonhle Thema is also in the house in this 'Build up' session. Contestant will start coming into the house as from 8:00pm.

  BBA presenter has launched into the Live arena with helicopter, contestants are going to be picked by 14 beuatiful bikes... What a show
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kanumba nasikia ndo mwakilishi wa Tanzania hahahaha
   
 13. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  haiwezekani jamani lugha, lugha wakuu ni shida pale. Kanumba amealikwa ktk sherehe ya ufunguzi, siyo house mate.
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kaalikwa tu, dah ningeshangaa sana manake sijui ingekuwaje
   
 15. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????

  Mwandishi: haki Tarehe: Sunday, September 06, 2009 | kiungo mahususi


  [​IMG]
  Steven Charles Kanumba

  Mwakilishi Wetu Kwenye Shindano la
  Big Brother Africa 4
  2009...
  Mmoja kati ya waigizaji wengi wa filamu nchini Tanzania ambao wanasaidia kuzirudisha enzi hizo ni kijana Steven Charles Kanumba(pichani)amechaguliwa na kufanikiwa kutuwakilisha rasmi kwenye shindano la big brother afrika 2009 nchini afrika ya kusini ambalo limeanza rasmi takribani dakika ishirini na tano zilizopita hivi sasa wadau mbalimbali wamejikusanya Paradise City Hotel - Savanna Lounge jijini Dar es Salaam kushuhudia uzinduzi huo rasmi uliaoandaliwa na MultiChoice Tanzania.Tanzania imeshafanikiwa kuwakilishwa na Mwisho, Richard ambaye alikuwa mshindi na Latoya.​


  Steven Kanumba alizaliwa mkoani Shinyanga tarehe 8 January mwaka 1984.Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Msingi Bugoyi huko huko Shinyanga.Baadaye alijiunga na shule ya sekondari Mwadui ambapo alisoma kwa miaka miwili tu kabla ya kuhamia katika shule ya Dar-es-salaam Christian Seminary alipomaliza elimu yake ya awali ya sekondari.Baada ya hapo alijiunga na shule ya sekondari Jitegemee kwa masomo ya kidato cha tano na sita.Endelea kuperuzi Ukurasa huu kwa picha na habari zaidi​
   
 16. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mkali wa filamu nchini Steven Kanumba ameitwa kushuhudia uzinduzi wa Shindano la nne la Big Brother Africa- The Revolution, litakalofanyika kesho (jumapili) nchini Afrika Kusini, na litawashirikisha vijana wengine mashuhuri kutoka nchi 14 za Afrika...

  Taarifa kutoka Mnet Afrika zinasema kuwa majina ya washiriki wa shindano hilo bado ni siri, na yatajulikana mara baada ya uzinduzi huo na kuingia kwenye nyumba maalumwatakayoishi kwa siku 91 na mshindi mwaka huu atazawadiwa dola 200,000 za Marekani badala ya 100,000
  source: http://www.globalpublisherstz.com
   
 17. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kanumba anatia aibu kaulizwa ni msanii gani wa kimataifa ungependa kufanya nae movie, eti anajibu I I I love ehh eeh Angelina Jolie halafu anashindwa kuelewa international star ni any star who is not a Tanzania kazi kweli kweli?
   
 18. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimeambiwa sasahivi na mtu anayeangalia tukio hili anasema KANUMBA ndiye anayewakilisha Tanzania.Duuuh balaaa!
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  Ukisoma globalpublishers wameonyesha picha ya Kanumba akiwa kule BBA, yupo ukumbini. Mshiriki hawezi kuwekwa wazi au kuingizwa ukumbini bila mbwebwe za Bigie.
   
 20. Safari

  Safari Member

  #20
  Sep 6, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kanumba ni 'star mate'. Watawapokea housemates leo na kesho wanaondoka nadhani
   
Loading...