Nawezaje kusikiliza Clouds FM online?

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
wadau nimekuwa nasikia kuwa clouds Fm ya Tanzania inapatokana
live mtandaoni. Nimejaribu ku search mpaka basi lakini sikufanikiwa
kuna mtu aliniambia inapatikana kupitia bongo5 lakini kula nako nimejaribu
hakuna kitu. Wakuu nisaidieni link, unaweza kukopi na ku paste hapa
na kama kuna radio nyingine ya kibongo inayopatikana mtandaoni live
mbali na Radio Maria unaweza kuweka pia. Hii itasaidia watu wengi hasa
walio nje ya nchi.

Natanguliza shukrani
 
Jahazi la Clouds FM - Leave alone Radio Statio - hata "Web presence" hawana!
 
Mkuu unatakiwa uwe Kitu kinaitwa ''New - Mozilla Firefox" kwanza kwenye pc yako ndio humo utafute hiyo www.bongo5.com utakutana na features mbalimbali, kisha unaweza chagua unayohitaji. Kifupi haijachangamka kihivyoo. Hiyo Mozilla unaweza kuistall online.
 
Back
Top Bottom