zeus
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 213
- 55
kwanza niwapongeze wasanii wetu wa filamu kwa juhudi zao za kuendelea tasnia ya filamu katika bongo yetu.wanajitahidi kwa kweli. lakini kuna kitu kinachoniboa katika muvi zetu hizi, na ni ishu ambayo ni common kuanzia filamu hadi maigizo...utakuta tukio scene moja inachukua muda mrefu mpaka inaboa..kwa mfano kama muigizaji anaonyeshwa kuwa anawaza , amechanganyikiwa,anasoma, anaota, anacheka,au analala, n.k........basi utaonyeshwa tukio lile kama dakika humi hivi.....its boring. yani muvi sio fast moving kutoka tukio moja hadi jingine sijui ni kukosa ubunifu au vipi.
wadau naomba kutoa hoja.
wadau naomba kutoa hoja.