kifupi huu wimbo niliupenda sana, then ujumbe wake ukikua mkubwa. Alikuwa ni Abb skilz na Blue enzi za 2003. Napenda ule mstari unaosema " jua wazi nikikuona roho inadunda, nipo radhi ndugu zangu...
Jana tarehe 15.06.2011 ingekuwa ni Sherehe ya kutimiza miaka 40 tangu kuzaliwa kwa rapa maarufu dunia 2pac Omar Shakur,
Katika hali ya kushtusha amejitokeza mtu aliyedai kuhusika na kitendo hicho...
Hizi ni nyimbo mbili kali ambazo whenever ninapozisikiliza zinanikumbusha hip hop ilipotokea. Enzi hizo nilikuwa mzee wa kuwakilisha kiukweli, wkt huo bongo fleva wapo wakongwe wachache sana akina...
Hivi karibuni nimekuwa nikiangalia dvd ya prison break niko namba 4
je ktk prison break ni kina nani unadhani wana akili sana?
Mi orodha yangu ni hii
1. Michael scofield
2. Alexander Mahone
3...
A drama set centered around the war between Russia and Georgia, and focused on an American journalist, his cameraman, and a Georgian native who become caught in the crossfire.
DOWLOAD...
Bongo Movie Club wanajiandaa kwenda Dodoma kwa ajili ya mechi yao na Wabunge
hapo Ijumaa, lakini tayari kuna kashfa imeikumba club hiyo na viongozi wanajitahidi kuzima
kashfa isijulikane kwenye...
Kill the Irishman HIii mpya released 2011 download hapa http://www.kat.ph/kill-the-irishman-2011-dvdrip-ac3-xvid-cm8-t5417367.html
GET SHORTY released 1995 imechezwa na Travolta
Be Cool...
Wimbo wa yekeyeke uliwahi kuwa maarufu sana mwishoni mwa miaka ya 80, kipindi hicho mie bado kijana mdogo. Kwa wanaoukumbuka wimbo huu, napenda ku-share taarifa zifauatazo:
Mwimbaji:
Jina la...
Tayari washachakakua kwa yule Michuzi ambaye leo kaamua kuhifadhi jina lao...sie huku kama kwa tuna namna zetu za kupata habari JF style
Anyway Jana Masekela aligoma kutumbuiza pale Southern Sun...
YouTube - ‪Evans Bukuku s Comedy Club (Michuzi Blog)‬‏
Sijawahi kuhudhulia show yake zaidi ya kuangalia kwenye mtandao, naweza kusema ni wazo zuri sana alilokuja nalo Evans...
MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini Dudubaya (pichani) hivi karibuni alitupwa selo baada ya kukamatwa na polisi wilayani Geita kwa kudaiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Ijumaa...