Tusker all stars

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
128
baada ya kutazama tusker all stars jumapili nilikosa hamu kabisa kwa wale niliodhania. kwa mfano kipindi kilichopita Msechu alifanya vizuri sana lakini juzi Krrrrrr! aliniboa sana. anaulizwa maswali simple sana anajibu kinyume kabsaa na kujigamba kuwa ametumwa kutafuta pesa na haja yake ni pesa tu. Hemedy pia did a very shoddy performance na hata comments zake baada ya performance ushhh!!!, so unfortunate, ukilinganisha siku zilizotangulia. Watu kama Alfa, Patricia na Davis performance zao zilikuwa za kuvutia na comments zao brief and to the point with respect for other artists.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom