Dr.nchimbi aifagilia miss tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.nchimbi aifagilia miss tanzania

Discussion in 'Entertainment' started by Nancheto, Aug 13, 2011.

 1. N

  Nancheto Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana wakati waziri wa habari wakati akihitimisha hotuba ya makadirio ya wizara yake alisema bila kutafuna maneno kwamba serikali
  itaendelea kuwaunga mkono miss Tanzania na kushadidia kuwa kadri siku zinavyoenda mashindano hayo yataendelea kuboreshwa,
  lakini kitu cha ajabu ni kwamba amesiliba mashindano ya BIG BROTHER AFRICA.Akaendelea kusema kuwa wanaoshiriki BBA hawana
  baraka ya serikali na ndiyo maana hata wakishinda serikali haina haja ya kuwapongeza.swali ni kwamba udhalilishaji wa miss Tanzania
  na BBA una tofauti gani?
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo ujue BBA hawana maslahi nayo
   
Loading...