Its WENDAL AND KAREN 4 BBA WINNERS

Hili shindano likifika mwisho huwa linakuwa very fishy and dodgy, shindano lililopita mshindi alikuwa kutoka Nigeria halafu mshindi wa pili akawa kutoka Zimbabwe, this year Mshindi katoka Nigeria na Zimbabwe kwenye upande wa kura siku zote ndio huwa kwenye utata.
 
Kwa hela walizo pewa washindi,,naomba kujua cost analysis,, Je kwa shindano kama hilo linalorushusu kupiga kura kwa kwa website, wanapataje faida?? ukiachiambali matangazo mawili matatu?
 
Kwa mfumo wanaotumia BBA kupata mshindi sidhani kama kuna nchi nyingine zaidi ya nigeria itashinda maana hata mshiriki wao akiwa hafai wao wanambeba mpaka anakuwa mshindi.Nadhani hata zimbabwe wanajua fitna zinazofanyika ndo maana wanaenda sambamba na nigeria.Nchi nyingine zitaendelea kuwa wasindikizaji mpaka hapo utaratibu utakapobadilika.
 
kwani utaratibu ni upi mkuu? hata ,mimi wananichanganya coz Lomwe is best kuliko Wendol,by the way Karen anastahili kushinda.......
 
kwani utaratibu ni upi mkuu? hata ,mimi wananichanganya coz Lomwe is best kuliko Wendol,by the way Karen anastahili kushinda.......

wanachoangalia n kura za nch husika znatoa washirik na kura za kikanda! Kusema ukwel wing wa wanigeria ck zote utawabeba washrk toka nigeria, kuhs wendal hata cjui how h was voted out coz h was not better than th rest esp luclay, vina and lomwe
 
South Africa has a host country sijui wanajisikiaje maana hii ni mara ya nne sasa hawajawahi kutoa mshindi, but the profit they have made from those SMS for three months wamepata hela sana.
 
Hili shindano likifika mwisho huwa linakuwa very fishy and dodgy, shindano lililopita mshindi alikuwa kutoka Nigeria halafu mshindi wa pili akawa kutoka Zimbabwe, this year Mshindi katoka Nigeria na Zimbabwe kwenye upande wa kura siku zote ndio huwa kwenye utata.
hivi nchi gani vile ina watu wengi kuliko zote Africa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom