Hakika nimeamini Yesu anaweza yote!!

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96

Yesu kaniokoa na mabaya mengi ya dunia, asante Yesu Kristu, siku zote wewe ni mshindi!
 
Last edited by a moderator:
Ina maana haukuaga yeye A to Z? Ndiyo yeye mfalme wa wafalme,Ndiyo yeye anaweza tangaza mwisho kabla ya mwisho.
 
Ni kweli, ila nafahamu bado kuna watu wengi wanaendelea kupigishwa kwata na shetani. Ni hawajui kabisa, na shetani siku zote anatumia mbinu zilezile, na binaadamu hawaoni, ila kwangu sasa hanipati!
 
ni kweli, hakuna Jina jingine litupasalo sisi kuokolewa kwalo, ila jina la Yesu pekee.

Bwana Yesu apewe sifa!!
 
Back
Top Bottom