BONGO STAR SEARCH (BSS) kwishney::airtel wajitoa udhamini

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Mama Benchmark naona inakula kwake,Airtel wamejitoa kwenye udhamini wa show hii.Inasemekana wao walikua wanatoa udhamini kiasi kama 255million kwa ajili ya show hii.Benchmark wamekimbilia mahakamani.
mmh mafuta pia hakuna jamani,msiendeshe kwa fujo!!
 
Hapo labda Airtel walihisi kuna uchakachuaji wa fedha wanayotoa. Lakini maadam kulikuwa na mkataba mahakama itakuwa ndio mtatuzi.
 
Mama Benchmark naona inakula kwake,Airtel wamejitoa kwenye udhamini wa show hii.Inasemekana wao walikua wanatoa udhamini kiasi kama 255million kwa ajili ya show hii.Benchmark wamekimbilia mahakamani.
mmh mafuta pia hakuna jamani,msiendeshe kwa fujo!!

Mbona inarushwa kila siku Jumamosi saa 3 Usiku kupitia ITV na inafanya vizuri chini ya udhamini wa tiGO?Mkuu fuatilia kwanza kabla hujapos thread.
 
Tigo si wamedakia tu!!Uchakachuzi wa ela mamdogo WOWOWO upo tena mkubwa!!
 
Ila walikosea sana kuludi makapi walipaswa kwenda na mwendo ule ule wa kuleta vitu vipya toka mikoani ile ndio raha watu wanataka sio kukaa hapa dar na kuleta watu wale wale sio sawa hata kidogo.Inakuwa kama wanabana matumizi akika watakuwa wamechemka naona ndio maana uenda hata Airtell wakaona kujitoa kama sivyo.

Ila next time wasiludie utaratibu wa kukusanya makapi waendelee na utaratibu wa zamani
 
Back
Top Bottom