Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

I also like football, every time the TV sitting next to see do not want to go to work, for a long time my mom bought me directly now iPhone4S, was better than the TV screen, now watch the game...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna ishu ya shoo ya uzinduzi wa Album ya Ant -virus na shoo nyingine pale mitaa ya Leaders, hii imekaaje maanake nimesoma kwenye mtandao na kusikia kwa baadhi ya vyombo vya habari kwamba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nwa baby (Ashawo) - Museke African song lyrics Album N'abania Artistes Flavour Video URL Year 2008 Nwa baby, nye me fege (7x) Nwa baby, wa Nabania I don hammer no be small, now it's time to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kama kawa kama dawa, jumamosi hii ni ya historia jijini dar na vitongoji vyake sugu na crew mbali mbali watashow love na perfomance kali sana pale viwanja vya ustawi wa jamii,,si mnaelewa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
LOS ANGELES (Reuters) - The Black Eyed Peas have denied rumors that they are breaking up but say they are taking a break from making music together for a while
0 Reactions
0 Replies
934 Views
wana jf mambo vp hawa jamaa wana suport kubwa sana lkn wenyewe awajitambui koz wameweka contact zao kny newspaper then mara awapatikan hata wakipatikana hawa pokei tatizo awajui public relation...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
club nyingi nazoingia ngoma zinzochezwa sizikubali sana...naona siku hizi mziki umepungua ubora..lemme know
2 Reactions
35 Replies
10K Views
wakuu hebu itafutenei hii movie muichek..iko very funny...ni ya kihindi ila iko pouwa sana..ina vichekesho ndani yake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sunday, November 20, 2011 | 2:20 PM Nicki Minaj, Chris Brown Plan to Wow at American Music Awards By Nicole Marie Melton Tonight's American Music Awards are...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi niliangalia, 35&Ticking Horrible Bosses Marmaduke Je w/end hii utaangalia ipi?
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Wiki hii November 24 itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 20 tangu alipofariki mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rock ambaye ni Mtanzania wa asili ya India mzaliwa wa Zanzibar Farrokh Bulsara aka Freddie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni special thread kwa wazee wa old skul kali za mtoni.1990s was an era of diversity. You want corny, turn on the radio and chances are you'll hear Pitbull, Lil Wayne and 50Cent shit...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
Jaribuni kutembelea hii blog kwa nyimbo mpya udownload bure www.dnmwanga.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
... hii nadhani kama sio ni Bar, basi ni ukumbi flani wa starehe ndani ya Arachuga, kwa mtu anaefahamu hapo mahali em naomba anijuze kidogo japo 'asili' tu ya hili jina, manake kuna jamaa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Huyu kijana huwa ananigusa mno na mashairi yake...hii imepelekea kubaki na maswali mengi kichwani kila ninaposikia nyimbo zake, je inawezekana....?? Ila hapana, kuna kila dalili akawa na zaidi...
1 Reactions
49 Replies
32K Views
Wana jf,habarini! Ninatafuta copy za movie hizi za kinaijeria ambazo ziliwahi kuwa maarufu enzi zile,1) The Girls hostel na Disguise,nimejaribu kutafuta kwenye baadhi ya maduka hapa moshi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahindano ya tikisa dance yalifanyika jana na washindi kujishindia zawadi za mamilioni. aidha mashindano hayo yalihusisha watu upiga kura kwa njiaya kutuma ujumbe mfupi wa maneno...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa yeyote ambaye ana Season 4 ya Merlin naomba anipatie ingawa sina uhakika sana kama ipo lakini nimeshaona trailer zake nyingi You tube. asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…