CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CLOUDS FM Wamjibu Sugu kwa Kumleta DMX

Discussion in 'Entertainment' started by King Kong III, Nov 9, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye anazindua album yake ya ANT-VIRUS II tar. 26/11/2011.Clouds Fm wamejibu kutokana na Mh sugu kupitia kampuni yake ya Deiwaka kufanya Tamasha siku hiyohiyo ambyo nao clouds walikuwa wanafanya tamasha lao la Fiesta mbeya.

  Nawasilisha
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  tutajua mwisho wake tu...
   
 3. K

  Kalila JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataokota wao si tunatupia tu kwenye nyavu zao labda wakamfufue michael jackson hahaha mbeya walipigwa mswaki sasa subiri waone
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kabisa hapa inabidi sugu na crew yake ya peenlawyer wafanye promo ya kufa mtu maana navyomjua ruge kwa promo hajambo anaweza akapiga tangazo mara 1000 kwa siku
   
 5. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Itafahamika tu
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu kalila nahisi na wewe ni m1 wa watu wa Deiwaka mmejipanga vp ki-promo kuwapiku hawa kina ruge na clouds? Maana navyowajua wabongo wengi wanaendeshwa sana na matukio si umeona wanamleta DMX.
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  sugu anajibu hivi!
  [h=6]...this time hata wamfufue mfalme wa pop michael jackson halafu wamlete bongo tarehe 26 nov ili kutuharibia...hakika tutawatuliza kama tulivyowatuliza mbeya na fiesta yao...we got thiz coz mitaa iko na sisi na nchi iko kwenye good mood...
  [/h]
   
 8. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  hivi kumbe sugu bado anaimba mziki!!! aisee sikujua hili!!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sugu Moto Chini na Dawa ya Jeuri ni kiburi.Clouds FM itakula kwao tu maana watu wapo real siku hizi wanataka ukweli watu wamewamis wagosi,babu inspector Haroun Triple 5,alianza kuitwa babu kabla ya yule wa samunge wa tiba ya ajabu lolliondo
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana naye
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Sugu ana matatizo huyo.
   
 12. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Tutawapa data na hata picha, DMX mbona siku hizi mchovu tuu, kitambi kikubwaa na anapiga sehemu bure na bado watu hawaendi....!! kabaki kuwapigia muziki mateja tuu....ndo maana anaweza kukubali kukimbia thanksgiving weekend ambayo ni siku muhimu sana pande ile kuja tanzagiza !!

   
 13. b

  bpouz Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  radio ya wafu labda wawafufue wafu akina jacks na heavy d ndo watazima mziki wa street fighter wa bish wa kitaa
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  .......... yeah Mnyalu said it very clearly, itafahamika tu!!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umechemka na wao wamechemka
   
 16. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  hivi WEWE MZEE NI MZIMA KWELI?AU chizi?
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Need ur clarification plz?
   
 18. K

  Kalila JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ruge hawezi kupambana na sugu ruge anatumia ikulu na sugu anampango wa kwenda kumuona jakaya kumuelezea matatizo ya mziki. Ruge anamtumia mwana fa amempa mil 30 ili awasaliti wasanii wenzake kwa kupitia kampuni ya t.f.u wasanii wengi watajiunga na movement ruge anahanya tu promo zina kuja check na swahilioriginaltz.com
   
 19. K

  Kalila JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure hawawezi kushindana na vinega wezi tu wanahanya
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Da thanks kalila kwa info kumbe mzee wa benzi jekundu(FA) ni bonge la snitch,Sugu moto chini dawa ya jeuri ni kiburi nimemkubali kwa harakati zake
   
Loading...