First-Left, Arachuga ...

First-Left, Arachuga ...

under_score

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
190
Reaction score
45
... hii nadhani kama sio ni Bar, basi ni ukumbi flani wa starehe ndani ya Arachuga, kwa mtu anaefahamu hapo mahali em naomba anijuze kidogo japo 'asili' tu ya hili jina, manake kuna jamaa ananambia eti hiyo ndo bar ya kwanza kushoto on the Arusha- Moshi Highway, is it?
 
sio Arusha-Moshi, ni ya kwanza ukitoka Ars-Nbi
 
sio Arusha-Moshi, ni ya kwanza ukitoka Ars-Nbi

... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
 
... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.
 
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.

shukrani mkuu, kumbe bi'preta' ni mdada enh? nimelipenda ile mbaya hilo jina lake japo sioni kama ana mpango wowote wa kunipa ukaribisho, wewe uko pande zipi mkuu ?
 
... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !

Yah....nipo Arusha maeneo ya Yaeda....karibu sana....
 
shukrani mkuu, kumbe bi'preta' ni mdada enh? nimelipenda ile mbaya hilo jina lake japo sioni kama ana mpango wowote wa kunipa ukaribisho, wewe uko pande zipi mkuu ?
Mkuu nipo pande za mianzini.Upo pande zipi,mkuu?
 
Inaitwa first left Bar mbele kidogo ya Technical kama Unenda Sakina/Ngaramtoni baada ya shule fulani hivi ya Nursery jina siikumbuki
 
Kuna watu ukisikia wanataka kutembezwa ujue aaaaaaaaaaaaah wana lao jambo! Usije ukanambia huoni mkuu maana hata wasioona hutembea wenyewe siku hizi.
 
..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako
 
Wakuu wa Arachuga ni wakalimu sana, lakini wana JF wa sehemu zingine hata ukitoa taarifa unaenda pande zao huwa hata hawa respond.
 
..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako
live band si kila siku,na si bendi kubwa sana-ni hizi wanazopiga bakulutu-arusha ukiacha ndanda kosovo-hakuna bendi inayopiga sana mziki,afadhali 7/7 walikuwa na bakulutu za ukweli-
bar yenyewe mbona ndogo tu,ni ya kawaida,sema hakuna usumbufu na makelele kama bar nyingine,nazan hii inasababishwa na bei ya vinywaji vyake.
ipo pembeni ya freedom bar,pia opposite na royal court ukishavuka daraja kama unatokea tripple a
 
karibu Ar-chuga mkuu

shukrani sana mkuu,

hivi sasa niko chimbo flani hapa linaitwa 'The Picnic', naona kuna ghashi za ukwenga kchizi zinapiga 'tray', basi mi bia inashuka swaafi ..!
 
Back
Top Bottom