Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?

Discussion in 'Entertainment' started by amanibaraka, Dec 13, 2010.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi juma nature bado ni mwanamuziki au anafanya issue nyingine za kimaisha?
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Clouds wanambania kazi zake, sasa yuko kwa manyaunyau anajifua awe mganga wa kienyeji
   
 3. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  @ HumphnickyM - MH. I DONT THINK SO. KWANI REDIO NI MOJA TU!?Mi nimesikia siku kaingia katika biashara ya bangi na bifu na wasanii. Ila hii ya bangi ndo inamyokea!!
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45


  Kumbe majibu ulikuwa nayo????!!! Kipi kilichokufanya uje kutuuliza sie?????!!!!
   
 5. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  @ Ba Mtu, nilizosikia ni tetesi, natafuta uhakika,
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  Juma Necha ameanzisha kanisa la marasta, liko mtaani kwao. Karibuni sana
   
 7. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  huyo mtu hata akibaniwa nyimbo ila akipanda jukwaani lazma akimbize hata kwa ngoma zake za kitambo!msanii akihisi ameridhika na kupendwa athubutu kumdiss nature ndo atajua jinsi jamaa ana mashabiki watiifu ambao daima wapo nyuma yake hata kama hajatoa ngoma mpya!
   
 8. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamaa yupo na ameachia ngoma yake mpya inaitwa 'jimwage' amefanya kwa p-funk na inafanya vizur tu kuanzia audio mpaka video yoo...
   
Loading...