Club gani inapiga ngoma za kitambo(Old School Rap & Rnb) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Club gani inapiga ngoma za kitambo(Old School Rap & Rnb)

Discussion in 'Entertainment' started by nyabhingi, Oct 20, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 5,361
  Trophy Points: 280
  club nyingi nazoingia ngoma zinzochezwa sizikubali sana...naona siku hizi mziki umepungua ubora..lemme know
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  maandamano kusanya nyimbo zako anza kuselebuka mwenyewe siku izi nyumbani kwako. club kumeharibiwa na bongo flava siku izi
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 5,361
  Trophy Points: 280
  kaka hujakosea yani hii bongofleva inatukimbiza kabisa kumbi za starehe...it ain't fun no more
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,704
  Likes Received: 82,627
  Trophy Points: 280
  Hilo sio uongo Mkuu, yaani imeshakuwa shida hakuna sehemu sasa hivi unaweza kwenda ukajirusha na kusuuzika roho yako. Nyimbo nyingi zinazopigwa hazikuzingui kiasi cha kutaka kuingia kwenye dancing floor na kufanya vitu vyako :(
   
 5. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nahisi ndo uzee unatukaribisha maana cranks na huo ubongo fleva ni tabu tupu
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mzee najua wewe utakuwa una-feel enzi za akina NEW EDITION, AALIYAH, DONELL JONES, TLC, SWV, JODECI, GINUWINE, NEXT, CHANGING FACES, BRANDY, USHER, CASE, JAGGED EDGE, DRU HILL, ANOTHER LEVEL, NAUGHTY BY NATURE, LL COOL J, JADE, OUTCAST, JOE, JOHN B, BIG PUNISHER, KUT KLOSE na wengine kibao pale Mzalendo Millenium Towers huwa wanapiga hizo ngoma, pia Zhongua Garden sijui kama bado wanaendelea kupiga pale ila kama hawapo pale wanakuwa Nyumbani Lounge kwa Lady Jay Dee every Saturday
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Njoo Fairway Tegeta utamkuta DJ Seydou at 63 anatwanga za akina George Benson........zamani akitwanga Mbowe (Bilicanas ya leo)

  [​IMG]
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  anzisha ukumbi tuje baab
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  dalili ya uzee sio lazima mpaka uone mikunjo ya uso, vitu kama hivi vinajihidhirisha kwamba dakika zimekimbia, kuanza kuchukia kila kitu kinachomfurahisha kijana wa 20's
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu BAK ni kweli maana hakuna mtu anayeweza kutafuta nyimbo za akina Teddy Pendergrass au akina Ralph Tresvant au producers wa enzi hizo kama akina Quincy Jones
   
 11. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli kabisa club nyingi wanapiga nyimbo hizo hizo kila siku....ila mafian lounge friday wanapiga oldies dj anajitahidi
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,704
  Likes Received: 82,627
  Trophy Points: 280
  Mkuu TF kwa maoni yangu si lazima uwe za unapenda enzi hizo hata sasa hivi kuna vitu vipya ambavyo vikipigwa ni lazima utaingiwa mdadi wa kutaka kwenda kwenye dancing floor...lakini wapi hata vitu hivyo vipya huvisikii kabisa!!! unakaa kusubiri tu huku masaa yakizidi kutokomea...Aaarrrrgggghhhh!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  BAK ni kweli kwa mfano juzi nilikuwa naangalia BET Hip Hop Awards kulikuwa kuna suprise performance ya Heavy D kwa jinsi aliyopiga show halafu jamaa anajua kucheza si mchezo kila mtu alinyayuka kwenye kiti that show how much watu wanavyozipenda oldies
   
 15. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii thread japol lengo lake ni kutaka kujua Old schools zinapigwa wapya..nimesoma comment za wadau na zimenifurahisha sana coz, linikua nkijiuliza hivi hii inatokea kwangu tu au hata kwa wengine...nimepoteza mapenzi kabisa na mziki unaotoka sasa hivi uwe wa hapa nyumbani (Bongo flava) ama ule wa majuu inaweza kunichukua wiki sijaangalia channel za mziki....ni kweli zile nyimbo za mid 80's and late 90's ni kali na nkizisikia huwa nasuuzika sana...kuna msemo husema "back in days when music was music" maybe we are getting old and losing touch with the modern time music....
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,704
  Likes Received: 82,627
  Trophy Points: 280
  Natoka nje ya mada kidogo.

  Huu wimbo wa RiRi ni bomba sana, lakini video yake ni Mhhhh! Sijui huyu binti anaelekea wapi. Asipowahiwa na mapema kabla hali haijawa mbaya sana basi anaweza kuharibikiwa kabisa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hehehe!!! BAK i think she needs to find a man for herself may be it might help
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,704
  Likes Received: 82,627
  Trophy Points: 280

  She needs to go back to CB :) as recommended by her parents (recently) , but IMO it is too late.
   
 19. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  kama upo home pia pendelea kusikiliza 102.6 fm
   
Loading...